pale TPA hamna janja yyte , pili mizigo hulipwa in advance before shipping na wateja , wanao kuja pale kulipa physically ni wachache na wengi huwa ni importers binafsi wa magari , nina zaidi ya mwaka na nusu sijatua pale physically , invoices zinatembea tu kwa network yao , makarani walipo pale these days hata siwajui , sasa naibaje , unajua kwa mwezi komntena kama 1000 napiga hela kiasi kipi ndio nikimbilie mashilingi shillingi ya laana kisa wizi ??? mawakala wa waarabu mna poteza nchi nyie , dili zinapigwa agencies zote mpaka usalama , mbona makaa mjini ipo , inapitaje mikoa yote hiyo kama sio rushwa ??? kwa hyo tubinafsishe pia police ??? acha fikra za kimaskini