Umeandika ujinga mtupu hawa DP mesema wanasima operations sio kukusanya mapato kwakili zako unafikiri mfanya biashara akipunguza invoice anamdanganya TPA au TRA? Kama anamdaganya TRA kwani Mamlaka ya mapato nayo imeuzwa?
Kudanganya aina ya mzigo ukifika bandarini unamdanya TPA au unamdanya TRA?
Yote uliondika hapo juu yanaweza kuendelea hata wakichukua hao warabu kwasabu kazi ya kukusanya mapata ni TRA
Scanner zote bandarini ziko chini ya TRA acha kuposha.
[/QUOTE
Umeandika ujinga mtupu hawa DP mesema wanasima operations sio kukusanya mapato kwakili zako unafikiri mfanya biashara akipunguza invoice anamdanganya TPA au TRA? Kama anamdaganya TRA kwani Mamlaka ya mapato nayo imeuzwa?
Kudanganya aina ya mzigo ukifika bandarini unamdanya TPA au unamdanya TRA?
Yote uliondika hapo juu yanaweza kuendelea hata wakichukua hao warabu kwasabubu umezunguzia usanyaji wa mapato, kazi ya kukusanya mapata ni TRA
Scanner zote bandarini ziko chini ya TRA acha kuposha.
kwa uandishi wako tuu unaonekana kuna shida kwenye uelewa wako