Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Huduma za kitandani, furaha nyumbani, dada ndio anakuwa Mather house n.k.
Kama Mungu akinijaalia kuwa bilionea sitaki mke wangu afanye kazi yoyote hata kupika tu
Yeye ni kula, kulala na kufanya mazoezi ya viungo
Muda wa kufanya hayo atautoa wapi na kuna ratiba ya bosi kazini, huyu ni binadamu hawezi kuhudumia mabosi wawili.Kwani akifanya kazi hawezi kuwa pambo au kumburudisha mumewe?
Kuna wanawake wanaofanya kazi na bado ni warembo kuliko wanaokalizwa nyumbani.
Hoja yako haina mashiko
Mke kama analiwa, ataliwa tu hata kama sio mtumishi...🤣
Kutokufanya kazi ni kitu kigumu sana.Unastahili ukiwa bilionea.
Muda wa kufanya hayo atautoa wapi na kuna ratiba ya bosi kazini, huyu ni binadamu hawezi kuhudumia mabosi wawili.
Kutokufanya kazi ni kitu kigumu sana.
Hizo ni wishes tu ambazo kiuhalisia wa maisha hazipo, hakuna hata mtu tajiri Mke wake ambaye hafanyi kazi.
Kazi ni kipimo cha utu.
Wanajiremba kwa ajili ya mabosi kazini sio nyumbaniUnaishi wapi Mkuu?
Mbona huku wanaofanya kazi ndio warembo na wanapendeza kuliko wanaokaa nyumbani?
Mimi na wife wote ni watumishi (tumeajiriwa) na Mungu ametubariki na maisha ni bulbul..😊
Wanajiremba kwa ajili ya mabosi kazini sio nyumbani
Acheni kuwatumiksha wanawake, kama mime beba majukumn yako ya kuihudumia familia yako.Ndio maana nikasema lazima upeo uwe chini ndipo mtu afikirie jambo hilo
Usimwite ivo mwelimishe jaman
Huo ndio ukweli hao mabosi wwnyewe ni miongoni mwetu.Hayo ni maneno tuu.
Wanaokaa nyumbani wanachama upesi sana.
Acheni kuwatumiksha wanawake, kama mime beba majukumn yako ya kuihudumia familia yako.
Kuna tofauti sana kati ya mwanamke na mwanamme hasa kwenye maswala ya familia. Mwanamme siku zote ni mpita njia tu. Nyumba ni mwanamke.Wewe ukienda kazini unashindwa kutoa huduma za kitandani kwa mkeo?
Ukitoka kazini unashindwa kuipa nyumba yako furaha?
Mkuu Aipolo,Wanajiremba kwa ajili ya mabosi kazini sio nyumbani
Huo ndio ukweli hao mabosi wwnyewe ni miongoni mwetu.
Bebeni majukumu yenu ya ndoa kama wanaume, acheni kuwatumiksha wanawake.Ndio nakuuliza unaweza kujenga Ukweni na kimshahara chako ambacho hata wewe mwenyewe hakikutoshi?
Kuna tofauti sana kati ya mwanamke na mwanamme hasa kwenye maswala ya familia. Mwanamme siku zote ni mpita njia tu. Nyumba ni mwanamke.
Iwapo mwanamke atachelewa kuja nyumbani au akifika tu anakaa kwenye kochi analala kama mwanamme mambo huenda mrama.
Nakazia ili na yeye wanaume wamuone.Hili. Si kweli hata wewe kazini huwa unaenda ukiwa msafi, ni kweli unajipamba ili wanawake wengine wakuone