Mbona mnafanya ndoa ngumu sana, yaani kuna kusomesha na kujenga ukweni?Unaweza kuwasomesha wadogo zake?
Mkuu Bufa tafadhali sana, jikite katika mada ya mke na mume. Na sibinti yako au wangu. Wewe binti yako/wangu nivizuri kua nahivyo vyeo je mume wake anazungumziaje hilo?.Walipata uraias, uspika kutokea nyumbani?
Unajua Samia kaanza siasa lini? Unajua background yake? Unajua background ya Tulia? Unadhani walifika Hapo bila kazi zingine?
Wake za marais kuacha kazi ni protocal tu, wanapewa majukumu ya kinchi na ndo maana wanalipwa mishahara na sheria imepitishwa ya kulipwa mafao as well.
Wafungieni watoto wenu ndani muone kama watafika popote wataishia kutumika tu.
Tafuta hela kijana mwanake kazi yake kulea familia. Ukishaona wewe na mke wako wote mnaamuka saa 11 asubuhi kwenda kupalangana basi wewe huna mke ila una partiner kwenye kuendesha maisha.
Yaani wewe huna uwezo wa kuitunza familia na kwa msingi huo uanaume wako ni wa mashaka. Kimsingi hukupaswa kuoa.
Chukua idadi ya wanaweke hao waliopo kwenye hizo nafasi kisha gawanya Kwa idadi ya wanawake wenye vigezo vyakupewa hizo nafasi kisha zidisha 100%, Kisha uone binti yako anaasilimia ngapi zakupata hiyo chance, kisha mpiganie. Kama wewe watamani hivyo, waulize waume zao hao wenye hizo nafasi wanajivunia wake zao kushika hizo nafasi?.
Kisha baada yahapo pia utambue msingi wa mada tunazingumzia mke wako/wangu. Na sio binti yangu/wako.
Samia ni mtoto wa bilionea hajawahi kupata shida yoyote, usitake tuanze kuongea siri za watu hapa wasiojulikana waanze kututafuta bureWalipata uraias, uspika kutokea nyumbani?
Unajua Samia kaanza siasa lini? Unajua background yake? Unajua background ya Tulia? Unadhani walifika Hapo bila kazi zingine?
Wake za marais kuacha kazi ni protocal tu, wanapewa majukumu ya kinchi na ndo maana wanalipwa mishahara na sheria imepitishwa ya kulipwa mafao as well.
Wafungieni watoto wenu ndani muone kama watafika popote wataishia kutumika tu.
Zamani nilikuwa nikimpenda workmate wangu nanunua dozen ya chupi nampa kama zawadi. Mchezo umeisha
Umenena vyema.Mbona mnafanya ndoa ngumu sana, yaani kuna kusomesha na kujenga ukweni?
Kila baba wa familia ahakikishe amejenga nyumba ya familia yake na sio kumsubiri mkwe au mtoto aje akujengee. Yaani Mimi nimsubiri mwanangu au mkwe wangu aje anijengee, huo ni upumbavu
Ahahahah 😂😆😁😆Mke asiye na kazi ukimhonga robo kilo ya nyama umemaliza
Huyo ni mke wako au wajamaa zako kaka?.Mke asiye na kazi ukimhonga robo kilo ya nyama umemaliza
Tena wapo wengi sana.Mke asiye na kazi ukimhonga robo kilo ya nyama umemaliza
Samia ni mtoto wa bilionea hajawahi kupata shida yoyote, usitake tuanze kuongea siri za watu hapa wasiojulikana waanze kututafuta bure
Mke ni pambo la nyumba, akitaka nimpe ruhusa kwenda kuhangaika na mafoleni huko barabarani apate kazi ya kuanzia million 10 kwa mwezi kwenda juu, siyo laki 5 tu tayari ashatelekeza watoto na nyumba kwa house girl
Wewe huo utafiti ulifanya wapi kwa kutumia sampling zingi na kwa njia ipi ya ukusanyaji data. Hapa ninapoishi kuna watu wana visima vya mafuta na wake zao ni mama wa nyumbani. Still, Mimi kwa macho yangu nimeishi na watu ambao wote ni watumishi lakini kipato Cha mke hakina msaada wowote kwa familia na hakihojiwi na mume kwa usalama zaidi.Ndio ujibu hoja.
Unaweza kukarabati na kujenga Ukweni?au kusomesha ndugu za mkeo?
Kama unaweza kutimiza majukumu ya mkeo ikiwemo kuhudumia wazazi wake basi unahaki ya kumzuia asifanye kazi.
Lakini elewa kuwa hakuna mtu aliyefanokiwa hata mmoja duniani ambaye mkewe ni mama wa nyumbani asiyefanya kazi ya uzalishaji
Huyo ndugu yangu nimeachana kujibizana nae.Umeanza story za vijiweni kama kawaida yenu. Tunamjua zaidi yako.
Kuwa billionaire si ndo angeamua tu kuwa goli kipa, kwanini alianza kufanya kazi? Sio ilibidi akae nyumbani siku nzima anasubiri mme wake tu.
Kazi ni kipimo Cha utu.
Mpaka hapo wewe siyo mwanaume na hukupaswa kuoa. Matokeo yake siku hizi vijana mnaoana au kuolewa na wake zenu. Mnaamuka wote saa 11 na mnarudi wote saa 4 usku. Hupewi maji ya kuoga, hupikiwi, watoto wako hawawalelewi na mke wako. Mke wako anaweza asirudi nyumbani, anaweza safiri mwezi mzima. Katika mazingira haya hata mngekuwa matajiri kiasi gani, wewe hujaoa..Ila una mtu unashirikiana naye kwenye maisha.Ukiona umeoa mwanamke asiyefanya kazi na hutimiza mahitaji yake, ikiwemo mahitaji ya kusaidia au kutuma pesa kwa Wakwe zako. Jua hapo huna mke bali msukule.
Hakuna Mwanamke anayejielewa atakubali kuolewa na mwanaume mchawi kama anayekataza mkewe asifanye kazi
Huyo ndugu yangu nimeachana kujibizana nae.
nilimuuliza swali kuna mtu asiyefanya kazi hapa duniani kisa ni tajiri, hajajibu.
Kwa hiyo wewe unafikiri Samia alitoka nje nyumbani kwao kwenda kutafuta kazi? au aliitwa tu na kuambiwa kaa hapa ule mema ya nchi?Umeanza story za vijiweni kama kawaida yenu. Tunamjua zaidi yako.
Kuwa billionaire si ndo angeamua tu kuwa goli kipa, kwanini alianza kufanya kazi? Sio ilibidi akae nyumbani siku nzima anasubiri mme wake tu.
Kazi ni kipimo Cha utu.
Wewe ndiyo hujielewi kabisaHuyo ndugu yangu nimeachana kujibizana nae.
nilimuuliza swali kuna mtu asiyefanya kazi hapa duniani kisa ni tajiri, hajajibu.
Safi kabisa, waambie hawa mpaka wajieleweMpaka hapo wewe siyo mwanaume na hukupaswa kuoa. Matokeo yake siku hizi vijana mnaoana au kuolewa na wake zenu. Mnaamuka wote saa 11 na mnarudi wote saa 4 usku. Hupewi maji ya kuoga, hupikiwi, watoto wako hawawalelewi na mke wako. Mke wako anaweza asirudi nyumbani, anaweza safiri mwezi mzima. Katika mazingira haya hata mngekuwa matajiri kiasi gani, wewe hujaoa..Ila una mtu unashirikiana naye kwenye maisha.
This isnt a concept of marriage na inakinzana na misingi ya asili ya ndoa. Matokeo yake Kila siku vinana mnaachana hata wale mnaoendelea ndoa zipo mahututi.
Yaani kakijana kameoana au kuolewa na mwenzake halafu Kanataka kaonekane kamwanaume ndani.
Narudia tafuteni hela kazi ya mwanmke ni kulea familia. Kazi ya kutafuta hela ni ya mwanaume. Huwezi kutafuta hela usioe
Sasa hivi tuna kundi la vijjana wavivu wapendwa kitonga. Wanataka wapate wenza wawasidie kulea familia, wakati huo huo wanataka wapate heshima ya mwanaume ndaniSafi kabisa, waambie hawa mpaka wajielewe