Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
💯🤝ATI Mwanamke anakuambia kama usiponipa hiki Mimi na wewe basi, na wewe unaanza kuhangaika. Mpumbavu wewe!
Tena mpumbavu kweli kweli kweli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯🤝ATI Mwanamke anakuambia kama usiponipa hiki Mimi na wewe basi, na wewe unaanza kuhangaika. Mpumbavu wewe!
Tena mpumbavu kweli kweli kweli..
Umeongea Point ya kufungia mwaka mkuu,wanawake wengi kwa sasa wanataka wewe ndio uwe mtoaji,ukienda hotelini bili wewe kila Mara,ukienda Bar unalipa wewe,yeye zake anatuma kwaoHabari za Sabato!
Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia
Kwa sasa Dar es salaam
Hao wanawake wenye uwezo wa kipesa wako wapi? Hata ukiwapata je watafiti vigezo vyako kimuonekano na kitabia? Robert Heriel MtibeliMapenzi ya kweli hakuna cha kusema huyu ni Mwanaume au huyu ni Mwanamke, wote mnaowajibu wa kusaidiana.
Sasa jitu hata nauli linashindwa huyo WA nini Wakati wapo Wanawake kibao wenye uwezo
Wanaume tunaonekana tunapingana na nature, kwasababu wanawake wengi mna-abuse nature.Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Bwana tafuteni Hela,, fanyeni majukumu tuwape mnachokipenda.Wanaume tunaonekana tunapingana na nature, kwasababu wanawake wengi mna-abuse nature.
Mnatumia kigezo cha "kuhudumiwa" kama fimbo ya kuwapigia wanaume ambao hamvutiwi nao kimapenzi.
Kwenye mahusiano, nyie kuomba kwenu hela ni kama mna nia ya kukomoa hivi, na sio kwamba mna uhitaji sana wa io hela Joannah
Hao wanawake wenye uwezo wa kipesa wako wapi? Hata ukiwapata je watafiti vigezo vyako kimuonekano na kitabia? Robert Heriel Mtibeli
Nature ipi hiyo Mkuu?Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!Nature ipi hiyo Mkuu?
Nature inamtaka Mwanamke ndio awe na tamaa juu ya mwanaume. Angalia viumbe wengi tofauti na binadamu alafu utaona nature inazungumzia nini kuhusu mahusiano.
Ni wanaume wasiojiamini, wasio na mvuto, wasio na kipato kizuri ndio wanahangaika Kwa kidogo wakipatacho kwaajili ya Wanawake.
Lakini mwanaume kuna level akishakuwa na mtazamo akishaupata hawezi kuhangaika na Wanawake Ila Wanawake ndio wanahangaika kwaajili yake. Kama Biblia na nature unavyotaka na kusema.
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!
Haya ni maneno yenye maana sana na ni ukweli sema vijana na watu wazima wa sasa wako spoilles to the fullest kwa ujinga
Nature ipi hiyo Mkuu?
Nature inamtaka Mwanamke ndio awe na tamaa juu ya mwanaume. Angalia viumbe wengi tofauti na binadamu alafu utaona nature inazungumzia nini kuhusu mahusiano.
Ni wanaume wasiojiamini, wasio na mvuto, wasio na kipato kizuri ndio wanahangaika Kwa kidogo wakipatacho kwaajili ya Wanawake.
Lakini mwanaume kuna level akishakuwa na mtazamo akishaupata hawezi kuhangaika na Wanawake Ila Wanawake
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!ndio wanahangaika kwaajili yake. Kama Biblia na nature unavyotaka na kusema.
Mwanaume usipohonga wewe ni masikini na kujidhalilisha mbele ya wanawake. Mwanaume kamili ni lazima uhudumie na umtunze mwanamke wako sijui wewe kijana wawapi unatuita sisi wapumbavu kijana tafuta hela izo akili za kimaskini futa kichwani mwako
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!
ATI Mwanamke anakuambia kama usiponipa hiki Mimi na wewe basi, na wewe unaanza kuhangaika. Mpumbavu wewe!
Tena mpumbavu kweli kweli kweli..
Mwanamke nae ni mlezi atakuhudumia pindi tu atakapokuwa na mapenzi na wewe na pia namna na wewe unavyomtreat.Mtume Muhammad na Yesu walihudumiwa na wanawake. Sasa utaamua mwenyewe uliwekeje Hilo.
Na Nina uhakika hutoweza kufika level ya Watu hao Wawili.
Zingatia; sijasema wanaume wasihudumie Wake zao, Ila nazungumzia ishu ya kuwa msukule Kwa Mwanamke kupe nyonyaji, Mwanamke mbinafsi.