Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Habari za Sabato!

Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia
Kwa sasa Dar es salaam
Umeongea Point ya kufungia mwaka mkuu,wanawake wengi kwa sasa wanataka wewe ndio uwe mtoaji,ukienda hotelini bili wewe kila Mara,ukienda Bar unalipa wewe,yeye zake anatuma kwao
 
Mapenzi ya kweli hakuna cha kusema huyu ni Mwanaume au huyu ni Mwanamke, wote mnaowajibu wa kusaidiana.

Sasa jitu hata nauli linashindwa huyo WA nini Wakati wapo Wanawake kibao wenye uwezo
Hao wanawake wenye uwezo wa kipesa wako wapi? Hata ukiwapata je watafiti vigezo vyako kimuonekano na kitabia? Robert Heriel Mtibeli
 
Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Wanaume tunaonekana tunapingana na nature, kwasababu wanawake wengi mna-abuse nature.

Mnatumia kigezo cha "kuhudumiwa" kama fimbo ya kuwapigia wanaume ambao hamvutiwi nao kimapenzi.

Kwenye mahusiano, nyie kuomba kwenu hela ni kama mna nia ya kukomoa hivi, na sio kwamba mna uhitaji sana wa io hela Joannah
 
Bwana tafuteni Hela,, fanyeni majukumu tuwape mnachokipenda.
 
Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Nature ipi hiyo Mkuu?

Nature inamtaka Mwanamke ndio awe na tamaa juu ya mwanaume. Angalia viumbe wengi tofauti na binadamu alafu utaona nature inazungumzia nini kuhusu mahusiano.

Ni wanaume wasiojiamini, wasio na mvuto, wasio na kipato kizuri ndio wanahangaika Kwa kidogo wakipatacho kwaajili ya Wanawake.

Lakini mwanaume kuna level akishakuwa na mtazamo akishaupata hawezi kuhangaika na Wanawake Ila Wanawake ndio wanahangaika kwaajili yake. Kama Biblia na nature unavyotaka na kusema.
 
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!
 
Sijasema wanaume wasiwatunze Wake zao.
Mbona unashindwa kunielewa.

Angalia Kati ya Ronaldo au kina Diamond na watu mashuhuri, wapi wanashoboka na ninyi Wanawake.
Wanawake ndio mnashobo na kina Ronaldo, diamond, na watu wa sampuli hizo. Lakini kamwe Watu kama hao hawawezi babaishwa na Wanawake hasa Wanawake wabinafsi.

Kumhudumia Mkeo hasa asiye mbinafsi ni jukumu la mwanaume yeyote mwenye Akili timamu. Na Mwanamke Bora haoni shida kujitoa kwaajili ya mumewe.

Lakini Wanawake wengi wenye attitude za kimaskini ndio kama ninyi, nauli unayo lakini ATI mpaka utumie. Hakuna Mwanaume WA maana anaweza kuoa Mwanamke wa hivyo, including huyo Ronaldo.

Unapoambiwa Nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke tunazungumzia Wanawake wenye sifa nilizozitaja. Sio wanaoshindwa kujilipia nauli na vocha, hao ni kupe wanyonyaji. Ni hasara kubwa
 
Haya ni maneno yenye maana sana na ni ukweli sema vijana na watu wazima wa sasa wako spoilles to the fullest kwa ujinga

Ukiambiwa Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna Mwanamke hapo anazungumzia Mwanamke asiye mbinafsi kama wengi tulionao kwenye jamii.

Limwanamke unalioa linawaza tuu kuhudumiwa. Hapo ni hasara tuu
 
Mwanaume usipohonga wewe ni masikini na kujidhalilisha mbele ya wanawake. Mwanaume kamili ni lazima uhudumie na umtunze mwanamke wako sijui wewe kijana wawapi unatuita sisi wapumbavu kijana tafuta hela izo akili za kimaskini futa kichwani mwako
 
Nature ipi hiyo Mkuu?

Nature inamtaka Mwanamke ndio awe na tamaa juu ya mwanaume. Angalia viumbe wengi tofauti na binadamu alafu utaona nature inazungumzia nini kuhusu mahusiano.

Ni wanaume wasiojiamini, wasio na mvuto, wasio na kipato kizuri ndio wanahangaika Kwa kidogo wakipatacho kwaajili ya Wanawake.

Lakini mwanaume kuna level akishakuwa na mtazamo akishaupata hawezi kuhangaika na Wanawake Ila Wanawake
ndio wanahangaika kwaajili yake. Kama Biblia na nature unavyotaka na kusema.
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!
 
Mwanaume usipohonga wewe ni masikini na kujidhalilisha mbele ya wanawake. Mwanaume kamili ni lazima uhudumie na umtunze mwanamke wako sijui wewe kijana wawapi unatuita sisi wapumbavu kijana tafuta hela izo akili za kimaskini futa kichwani mwako

Mtume Muhammad na Yesu walihudumiwa na wanawake. Sasa utaamua mwenyewe uliwekeje Hilo.
Na Nina uhakika hutoweza kufika level ya Watu hao Wawili.

Zingatia; sijasema wanaume wasihudumie Wake zao, Ila nazungumzia ishu ya kuwa msukule Kwa Mwanamke kupe nyonyaji, Mwanamke mbinafsi.
 
Eti wanaume wasio na Hela ndio wanahangaikia wanawake,acha kujipa matumaini, Fuatilia mambo ya Dunia Angalia kina CR7 wanavyotunza wanawake zao,Angalia kina Mark Antony,pita hapo mjini Lagos ukaone machief wanavyotunza bebez,watu wananulia watu visiwa we unaendekeza ubahili wa kipare shauri zako😁😁😁Tafuta Hela wewe acha kulia na vocha ya buku 2!

Tunahudumia Wanawake wenye hadhi ya kuhudumiwa, Wanawake wenye mchango kwenye Maisha na sio Kupe Nyonyaji
 
Mtume Muhammad na Yesu walihudumiwa na wanawake. Sasa utaamua mwenyewe uliwekeje Hilo.
Na Nina uhakika hutoweza kufika level ya Watu hao Wawili.

Zingatia; sijasema wanaume wasihudumie Wake zao, Ila nazungumzia ishu ya kuwa msukule Kwa Mwanamke kupe nyonyaji, Mwanamke mbinafsi.
Mwanamke nae ni mlezi atakuhudumia pindi tu atakapokuwa na mapenzi na wewe na pia namna na wewe unavyomtreat.

Mwanamke hujifunza mapenzi kutoka kwako ikiwa wewe huumpi chochote na wala huonyeshi juhudi zozote kwake usitegemee aje akupende ni big no zaidi ya hapo utaambulia dharau.

Heshima ya mwanamme kwa mwanamke ni kumhudumia. Kuhusu wanawake wabinafsi ninyinyi vijana mnawatafuta wenyewe achana na wanawake wabinafsi
 
Back
Top Bottom