Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Tuwe na akiba ya maneno.
 
Hapa siyo mahakamani. Mbona mnahangaika sana. Mtu yeyote hana hatia mpaka itakapothibitika bila mashaka yoyote kuwa ana hatia mahakamani, siyo pengine.
 
Ndugu yangu, hapa jamii forums siyo mahakama. Hapa ni kuonesha hisia zako. Mbona unalalamika sana. Mahakama itafanya kazi yake na itaamua kwa haki. Pilipili ziko shamba, zinakuwashaje?
Huu ni ushahidi tosha?
 
hayo ndio haswa yanatakiwa kufanywa, sijui wahusika wanasubiria nini?
 
Tukio la uvamizi Clouds na tukio la kumkwida Mzee Jaji Warioba yanatosha kumpoteza.
 
Anza na ubalozi wa Marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko Marekani...
Kwani ushoga ni sifa nzuri kwako siyo?

Maana wamarekani walimzuia kwa sababu aliupiga vita ushoga.

Ila Lissu walimkubalia sababu aliukubali Ushoga!

Wekeni ushahidi acheni Majungu.....
 
Bashite bana..[emoji23]
 

Sabaya yeye hakuuwa mtu balialitesa nakupora
 
Leopold Lwajabe hayati aliyekuwa muajiriwa wa mpwa wa jambazi JPM yaani Doto James. Walimlawiti na kumnyonga huko porini! Kwao ni hapa Karagwe. Kwa hiyo huyu hermaphrodite Bashite alishiriki mauaji? Apelekwe basi Lupango tuone kama kiungo kimojawapo cha uzazi kitamsababishia apate mimba!
 
Lwajabe wa hazina jmn just nilkuwa hazina nilimkumbuka Sana lwajabe
 
My friend, what you’re asking for is a tall order. Usipoteze muda kuutafuta huo ushahidi hapa JF, hutaupata. Hii sio juridical forum. Hapa tunaaminishana kwa kutumia “plausible” facts na arguments basi. Sisi tuna-connect the dots. Unapima mwenyewe.

Somo kuu mashabiki wa watawala mnalotakiwa kujua ni kuwa ukiwa na kiherehere sana, wewe ndio unakabidhiwa kazi chafu ili baadaye usukumizwe kirahisi ndani ya dampo. You become easily “expendable”.

Mwigulu alikuwa hivyo awamu ya nne na partly ya tano. Baadaye kama vile akajishtukia, akajirudi kiasi lakini rekodi ya kushika uchafu haifutiki kabisa.

Mpe ushauri nasaha Makonda jinsi ya kusurvive hii kadhia. Kumtafutia heshima hapa JF is an exercise in futility. He’s completely soiled up!
 
Huyo Mr Zero ni state goon , walimlea wao sasa tulipokuwa tukimkemea waliweka nta sikioni.

Nakuhakikishia sio watu wa upinzani watamuumbua huyu dogo bali CCM wenzie waliomlea akawaumiza ndio watamnyoosha.

He who feeds you controls you.
 
Hayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
Huoni kuwa wwle waliolalamika kuhusu tukio hilo walituwakilisha sisi ambao tulilaani vikali uvamizi ule ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…