Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

HUYU MTU SERIKALI INA KILA KITU IKAAMUA TU KUMPELEKA MAHAKAMANI WATAMNYONGA.

NA NI SUALA LA MUDA TU BASHITE HANA MAISHA MAREFU KWENYE POLITICAL EXPERIENCE.

Pia ana kaushamba fulani hivi hii kupost Insta kulalamika ni kukoleza 🔥.

Ndo alichokifanya Sabaya kwenda clouds.

Kwanini Bashite anafanya hivi ni baada ya kuomba access ya kukutana na Mama Kukataliwa saiv anatapatapa.

Na Mama hana tatizo ila tatizo liko kwa Deep state. Deep state wamekaza hawataki mazoea na Bashite coz now ni kama gunia la mavi ukilibeba lazima unuke.

Na Bashite ana nuksi watu wote aliowafanyia fitina leo hii ni prolific gentlemens of the state.
Tuwe na akiba ya maneno.
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Hapa siyo mahakamani. Mbona mnahangaika sana. Mtu yeyote hana hatia mpaka itakapothibitika bila mashaka yoyote kuwa ana hatia mahakamani, siyo pengine.
 
Ndugu yangu, hapa jamii forums siyo mahakama. Hapa ni kuonesha hisia zako. Mbona unalalamika sana. Mahakama itafanya kazi yake na itaamua kwa haki. Pilipili ziko shamba, zinakuwashaje?
Huu ni ushahidi tosha?
 
Ubalozi wa Marekani wanasukuma ajenda yao kidiplomasia, kupitia taasisi za kidiplomasia, na wanawapa ushahidi jinsi Makonda alivyodhulumu haki ya kuishi (kaua), mama anawekewa ushahidi mezani, na Kila siku wanaulizia hatua zilizochukuliwa.

Bado mambo mengi yasiyo na idadi. Nina imani Ofisi ya uhasibu ya mkuu wa Mkoa ikipekenyuliwa, hachomoki, akifanyiwa life style audit, hachomoki, akifanyiwa audit ya Mali vs mshahara, hachomoki
hayo ndio haswa yanatakiwa kufanywa, sijui wahusika wanasubiria nini?
 
Tukio la uvamizi Clouds na tukio la kumkwida Mzee Jaji Warioba yanatosha kumpoteza.
 
Anza na ubalozi wa Marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko Marekani...
Kwani ushoga ni sifa nzuri kwako siyo?

Maana wamarekani walimzuia kwa sababu aliupiga vita ushoga.

Ila Lissu walimkubalia sababu aliukubali Ushoga!

Wekeni ushahidi acheni Majungu.....
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Bashite bana..[emoji23]
 
Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.

Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?

Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?

Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.

Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.

Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.

Sabaya yeye hakuuwa mtu balialitesa nakupora
 
Tatzo la Bashite anajifanya ana Siri nyingi za serikali anatishia tishia nazo. Awamu ni Ile ya upepo utapita Tu hivyo ata asemeje hawaogopi sana Sana watamkausha Tu mate.

Na very soon anapanda kizimbani so kaanza saka public simpathy. Kuna mtu anaitwa Lwajabe familia yake bado mpk Leo ina masononeko
Leopold Lwajabe hayati aliyekuwa muajiriwa wa mpwa wa jambazi JPM yaani Doto James. Walimlawiti na kumnyonga huko porini! Kwao ni hapa Karagwe. Kwa hiyo huyu hermaphrodite Bashite alishiriki mauaji? Apelekwe basi Lupango tuone kama kiungo kimojawapo cha uzazi kitamsababishia apate mimba!
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
My friend, what you’re asking for is a tall order. Usipoteze muda kuutafuta huo ushahidi hapa JF, hutaupata. Hii sio juridical forum. Hapa tunaaminishana kwa kutumia “plausible” facts na arguments basi. Sisi tuna-connect the dots. Unapima mwenyewe.

Somo kuu mashabiki wa watawala mnalotakiwa kujua ni kuwa ukiwa na kiherehere sana, wewe ndio unakabidhiwa kazi chafu ili baadaye usukumizwe kirahisi ndani ya dampo. You become easily “expendable”.

Mwigulu alikuwa hivyo awamu ya nne na partly ya tano. Baadaye kama vile akajishtukia, akajirudi kiasi lakini rekodi ya kushika uchafu haifutiki kabisa.

Mpe ushauri nasaha Makonda jinsi ya kusurvive hii kadhia. Kumtafutia heshima hapa JF is an exercise in futility. He’s completely soiled up!
 
Huyo Mr Zero ni state goon , walimlea wao sasa tulipokuwa tukimkemea waliweka nta sikioni.

Nakuhakikishia sio watu wa upinzani watamuumbua huyu dogo bali CCM wenzie waliomlea akawaumiza ndio watamnyoosha.

He who feeds you controls you.
 
Hayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
Huoni kuwa wwle waliolalamika kuhusu tukio hilo walituwakilisha sisi ambao tulilaani vikali uvamizi ule ?
 
Back
Top Bottom