Huu ndo ukweli blaza eti wengine wanamshauri anaweza kuishi hivyo bila kuwa na Mtu, huku wao ni vinara haipiti siku bila kusuguanaMambo ya ajabu haya.
Umekuwa unafanya ngono toka upo 15yrs hadi leo upo 30yrs ghafla unawaza ku-abstain unadhani ni rahisi kiasi hicho?
Ilikuwa rahisi zamani na hata wao walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo, mtu upo 30+ mwili umeshazoea ngono unaachaje sasa.
Nadhani ni kujilisha upepo tu, dawa ni kutafuta mtu mmoja uwe unakipeleka kila ukisikia nyege. Ubaya ni kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
Ni asilimia ndogo sana wamejaribu na kuishinda hii vita. Kuwekana ni hitaji muhimu la mwili, ndio maana kuna wakati hata mental state inabadilika mwili ukiwa na hitaji hilo.
Narudia, ubaya ni kutombesha hovyo, na bahati mbaya wadada wa sasa mnatombesha hovyo sana, ndio maana mnajishtukia.
Endelea kuitembeza tuu, ila usiitumie kuomba hela hutapata wa kukuoa.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Nitafute pmKama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
Kuwa karibu na Mungu, hii ndio njia pekee itakayokuokoa na zinaa, usiikaribie zinaa, nafikiri unanielewa ninaposema usiikaribie zinaa.Nimejiwekeza vyema tu! Na kumpata huyu mume sio swala rahisi kiasi hiki! Sasa naongelea ule muda ninaosubiri hiyo ndoa naishindaje hii dhambi?
Ndio Ipo njia unayoweza kuitumia kushinda uzinziNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Wakati unaipigana hiyo vita jitahidi upate mume uolewe, kuipigana hiyo vita milele ni ngumu unless uwe na imani kali.Namshukuru Mungu nimeweza kusimama mpaka muda huu! Na nina imani nitavuka! Kama pombe nilikuwa nakata mzinga na nimevuka, nina imani hiki hakitanishinda!
Nmeishinda vita ya punyeto, porn, na mengine mengi! Kwlei Mungu yupo na anaishi!
Asante kwa ushauri huu unanitia sana moyo kaka!
Kabisa, mwaka wa nne sasa sifanyi hayo mambo na maisha fresh tu. Siweki ukaribu na mabinti kabisa.Get busy kutafuta hela dear,find another project ya kukufanya busy huku ukijitahidi kuingia kwenye you tube channels za maombi na mafundisho ya neno la Mungu
nina experience na ninachokwambia and yes mimi nime practice celibacy it’s possible na inakupunguzia mambo mengi unakuwa na amani wakati ukimsubiri mr right
upo kipindi kizuri sana being single is a perfect time to hear God cleary
ukihitaji muongozo zaidi karibu pm I can help especially kwenye kusali na kufatilia sermons zitakazokupa uelewa wa kipindi unachopitia
Nina mke na wajukuu sasaFanya,sasa kwanini unajibana?
Nikuoe dada mpendwaHapana sio kweli kuna muda unaokoka unaacha mambo ya kidunia, ni maamuzi mazuri mtu tu kuamua kutulia! Wala kugawa gawa sio sifa! Isitoshe nyie mnaogawiwa hamjaligi soko la mtu mnapitaga hamuangalii, uongo?
Mindset yako ndio imeamua ione lugha kali..Man unatumia lugha Kali sana Yan!
Angalau umeniunga mkono katika hili Bushmamy ...Huu ndo ukweli blaza eti wengine wanamshauri anaweza kuishi hivyo bila kuwa na Mtu, huku wao ni vinara haipiti siku bila kusuguana
Unashindana vipi na nature aisee
Amina, mtumishi hakika jambo lolote kwa Mungu linawezekana!Omba roho mtakatifu akusaidie,soma neno la Mungu .Kabla nilikuwa mzinzi sana lakini Sasa hivi Mungu amenifanye niweze,naweza kukaa miaka.Kazi ya kushinda dhambi c yako,Roho akijaa ndani utashinda Kila aina ya udhaifu
Usimdharau Mungu kwa maneno ya kiburi. Mathayo 12:36 inasema kila neno lisilo na maana watu watalipa siku ya hukumu. Dhambi haikuwahi kuwa suluhisho, na kudhihaki watumishi wa Mungu si ushindi bali ni ushahidi wa mtu aliyepotea njia. Uvuguvugu si dini bali hali ya moyo. Yesu yupo hai, na bado anaokoa. Badilika kabla hukujuta.Heri kuwa moto au baridi kuliko uvugu vugu ....wote nyinyi na hizo dini zenu feki ni uvuguvugu (chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu) MTATAPIKWA hivyo wewe bora kuwa mzinzi tu kuliko huo upumbavu wa kina mwamposa na walokole na madhehebu ya dini
Mambo ya ajabu haya.
Umekuwa unafanya ngono toka upo 15yrs hadi leo upo 30yrs ghafla unawaza ku-abstain unadhani ni rahisi kiasi hicho?
Ilikuwa rahisi zamani na hata wao walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo, mtu upo 30+ mwili umeshazoea ngono unaachaje sasa.
Nadhani ni kujilisha upepo tu, dawa ni kutafuta mtu mmoja uwe unakipeleka kila ukisikia nyege. Ubaya ni kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
Ni asilimia ndogo sana wamejaribu na kuishinda hii vita. Kuwekana ni hitaji muhimu la mwili, ndio maana kuna wakati hata mental state inabadilika mwili ukiwa na hitaji hilo.
Narudia, ubaya ni kutombesha hovyo, na bahati mbaya wadada wa sasa mnatombesha hovyo sana, ndio maana mnajishtukia.
Lakini kumshauri mtu kitu haimaanishi na wewe lazima uwe kama yeye!Huu ndo ukweli blaza eti wengine wanamshauri anaweza kuishi hivyo bila kuwa na Mtu, huku wao ni vinara haipiti siku bila kusuguana
Unashindana vipi na nature aisee