Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Anatimiza maandiko

Yeremia 31:22​

Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
.......mwanamke atakuwa na wivu ya mwanaume, na mwanaume atamtawala
 
Wana majukumu machache, ndio maana wanapata muda wa kufuatiliana
 
mwanaume akitulia ni kwamba atapunguza list ya wanawake atabaki na mmoja hivi...yani hapo ndo ametulia.
Huu utafiti ulifanyia wapi na lini ?
Sample size je ?
Watukufu wapo dada labda tu ulikutana na Fyongo.
 
Mtu mzima halindwi!!!
Kujitafutia stress za rejareja tu!!
Tena mwanaume uwiiiii!
 
Usinidrive sikuzaliwa na wewe alaaa!
Sikuumbiwa mtu mmoja mimi kati ya watu 7B eti Mungu aniumbie mtu hahahaaa!

Wanadamu tunadanganyana sana, tunawekeana sana regulations hata kwenye masuala binafsi.

Haki ya mtu lazima iheshmiwe
Lazima tuutetee ubinafsi
Iam truly an individual- naweza date yeyote.

Mahusiano ni makubaliano over
 
🤣🤣🤣🤣
We king'amuzi kinakuhusuu ngoja utaitiwe utajua hujui
 
Ndoa hadi ufungwe king'amuzi ?? 😃😃😃
Bila shaka wewe ni mchepukaji sana. Wanawake wengi wanaochepuka hupenda kuwaambia wenzao kuwa mwanamme katu hawezi kukaa bila kuchepuka ili ''wajisikie vizuri'' wanapoandamwa na dhambi yao ya uchepukaji rohoni. Kwa kifupi mwanamke akichepuka hasa kama hana uhakika kama bwana wake anachepuka au la (anahisi-hisi) hujisikia roho inaumia sana. Sasa ili kutuliza yale maumivu ya roho sub-consciously ubongo wake unamwambia ajifariji na sababu ''mwanamme lazima achepuke''.
 
🤣🤣🤣
Kuku wa kienyeji tangu lini akachungwa?
Shangaa nawewe mamyy! Mwanaume akiamua kutoka anaamuaaa na anaweza kuwapanga vizuri tu bila hata wewe kujua!
Maisha yalivo matamu hata presha nyingine za kujitafutia tu!!
 
Asee me sio type ya mchepukaji wala
Yani mm ni wale wa 100% true love sema ndo hvyo ukweli tuuseme...wanaume wa tanzania kama wapo waaminifu basi ni 2 katika 100...
Tusi assume tatizo halipo kumbe lipo
 
Shangaa nawewe mamyy! Mwanaume akiamua kutoka anaamuaaa na anaweza kuwapanga vizuri tu bila hata wewe kujua!
Maisha yalivo matamu hata presha nyingine za kujitafutia tu!!
Maisha ni matamu sana sana ukiamua kuachana na stress za kumfwatilia mtoto wa mama mkwe
 
Kweli wanawake ndo tumefikia kuwafanyia wanaume hivi ili kuwalinda wasichepuke? Nilimhurumia bi dada na tumbo lake lililochomoka, nikajisemea huyu anataka kuzaa kabla ya majira yake, mambo gani ya kuchungana kama ng'ombe jamanii? Na wewe mwanaume na ndevu zako unakubali kabisa kutrakiwa?
Hapa tu. Ukiwa mwanaume Ng'ombe lazima utrackiwe tu.

Wanaume tunaojielewa hawathubutu kabisa hata simu zetu ni za moto. Maisha raha mstarehe
 
Back
Top Bottom