.......mwanamke atakuwa na wivu ya mwanaume, na mwanaume atamtawalaAnatimiza maandiko
Yeremia 31:22
Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......mwanamke atakuwa na wivu ya mwanaume, na mwanaume atamtawalaAnatimiza maandiko
Yeremia 31:22
Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Wee mkuu Kwamba huna habari au unazingua tu??Hivi kweli kuna mwanaume mwenye busara zake na ana mke halafu alale na mwanaume mwenzake?
Huu utafiti ulifanyia wapi na lini ?mwanaume akitulia ni kwamba atapunguza list ya wanawake atabaki na mmoja hivi...yani hapo ndo ametulia.
Unataka nitoe siri za kambi nifukuzwe kiumeniHebu nishirikishe mbinu zingine mbadala mwaisa
🤣🤣🤣🤣Usinidrive sikuzaliwa na wewe alaaa!
Sikuumbiwa mtu mmoja mimi kati ya watu 7B eti Mungu aniumbie mtu hahahaaa!
Wanadamu tunadanganyana sana, tunawekeana sana regulations hata kwenye masuala binafsi.
Haki ya mtu lazima iheshmiwe
Lazima tuutetee ubinafsi
Iam truly an individual- naweza date yeyote.
Mahusiano ni makubaliano over
Bila shaka wewe ni mchepukaji sana. Wanawake wengi wanaochepuka hupenda kuwaambia wenzao kuwa mwanamme katu hawezi kukaa bila kuchepuka ili ''wajisikie vizuri'' wanapoandamwa na dhambi yao ya uchepukaji rohoni. Kwa kifupi mwanamke akichepuka hasa kama hana uhakika kama bwana wake anachepuka au la (anahisi-hisi) hujisikia roho inaumia sana. Sasa ili kutuliza yale maumivu ya roho sub-consciously ubongo wake unamwambia ajifariji na sababu ''mwanamme lazima achepuke''.Ndoa hadi ufungwe king'amuzi ?? 😃😃😃
Shangaa nawewe mamyy! Mwanaume akiamua kutoka anaamuaaa na anaweza kuwapanga vizuri tu bila hata wewe kujua!🤣🤣🤣
Kuku wa kienyeji tangu lini akachungwa?
Asee me sio type ya mchepukaji walaBila shaka wewe ni mchepukaji sana. Wanawake wengi wanaochepuka hupenda kuwaambia wenzao kuwa mwanamme katu hawezi kukaa bila kuchepuka ili ''wajisikie vizuri'' wanapoandamwa na dhambi yao ya uchepukaji rohoni. Kwa kifupi mwanamke akichepuka hasa kama hana uhakika kama bwana wake anachepuka au la (anahisi-hisi) hujisikia roho inaumia sana. Sasa ili kutuliza yale maumivu ya roho sub-consciously ubongo wake unamwambia ajifariji na sababu ''mwanamme lazima achepuke''.
Maisha ni matamu sana sana ukiamua kuachana na stress za kumfwatilia mtoto wa mama mkweShangaa nawewe mamyy! Mwanaume akiamua kutoka anaamuaaa na anaweza kuwapanga vizuri tu bila hata wewe kujua!
Maisha yalivo matamu hata presha nyingine za kujitafutia tu!!
Kabisaaaa dear!!Maisha ni matamu sana sana ukiamua kuachana na stress za kumfwatilia mtoto wa mama mkwe
Hapa tu. Ukiwa mwanaume Ng'ombe lazima utrackiwe tu.Kweli wanawake ndo tumefikia kuwafanyia wanaume hivi ili kuwalinda wasichepuke? Nilimhurumia bi dada na tumbo lake lililochomoka, nikajisemea huyu anataka kuzaa kabla ya majira yake, mambo gani ya kuchungana kama ng'ombe jamanii? Na wewe mwanaume na ndevu zako unakubali kabisa kutrakiwa?