Kuwa maskini,,,Iwe kupunguza umaskini au kuongeza umaskini ni zaidi ya hesabu,,Umaskini,,Utajiri ni Maneno mapana na yanahitaji uchambuzi wa kina ili kuyafafanua kwa ufasaha zaidi kwa kushirikisha fikra nyingine kutoka kwa wengine!!Maisha ni ukamilifu na sidhani kama kuna kilicho na ukamilifu katika ulimwengu huu,,Kwa waliopita,,Wasasa na Wajao pia!!Kwa mazingira hayo, tayari unaongeza umasikini
100%Kwa hiyo, unamaanisha lawama zote ziende kwa wazazi?
Sawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?Wazazi wanawajibuwa kutunza watoto waliowazaa kwa starehe zao, watoto wasilaumiwe maana hamna mtoto anayejizaa.
Masikini na tajiri wanafikra na saikolojia ambazo zinakinzana hivyo usiwalinganishe wao bali linganisha fikra na saikolojia zao.Kumbuka ukiwa na watoto saba tu, debe la mahindi linaisha mchana mmoja
Niende wapi....hamna mahali naenda wao ndyo waende wakanitafutie maisha 😒Unatakiwa uondoke ukajitafutie maisha
Na kiwanda anachoCase study: awe Masudi Kipanya na wake zake na watoto wake, Kipanya unamuonaje?
✍️
Huwezi kurudisha mtoto kwenye korodani na ovarySawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?
Umaskini ni udogo wa kipato kisichokidhi mahitaji ya wakati husika. Full stop. So, umasikini uko katika kipato ama mali si vinginevyoKuwa maskini,,,Iwe kupunguza umaskini au kuongeza umaskini ni zaidi ya hesabu,,Umaskini,,Utajiri ni Maneno mapana na yanahitaji uchambuzi wa kina ili kuyafafanua kwa ufasaha zaidi kwa kushirikisha fikra nyingine kutoka kwa wengine!!Maisha ni ukamilifu na sidhani kama kuna kilicho na ukamilifu katika ulimwengu huu,,Kwa waliopita,,Wasasa na Wajao pia!!
Naona unapenda majibu mepesi nami nakujibu kiwepesi. Hauko sawa.Swali, ulaji wa watoto kumi ni sawa na ulaji wa watoto wawili?
Akiwahudumia kwa miaka isiyopungua 30, atarudi nyuma sana; ndio maana kwenye chati pale, wanapokezanaNaona unapenda majibu mepesi nami nakujibu kiwepesi. Hauko sawa.
Nami nakuuliza unadhani Leo billget akilea watoto 100 na kuwahudumia kwa kila kitu atarudi kuwa masikini?
Ukizaa ni wajibu wako kuhakikisha huyo unayemzaa anapata huduma zote na uhakikishe future yake inakuwa nzuri kiuchumi ,sio kuzaa kama mahayawani , kama ni kuzaa hata wanyama wanazaa ,watu watumie akiliSawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?
Hahaha misaada anayotoa billget ni zaidi ya kulea watoto 1000. Kinachosababisha wapokezane kwenye list ya matajiri ni kupanda na kushuka kwa investments zao (hasa hisa)siyo matumizi yao wala misaada yaoAkiwahudumia kwa miaka isiyopungua 30, atarudi nyuma sana; ndio maana kwenye chati pale, wanapokezana
Kutokidhi mahitaji kwa wakati husika wala si umaskini,,na kukidhi mahitaji kwa wakati husika haimaanishi na wala si Utajiri pia!!kutimiza mahitaji kwa wakati husika kunahitaji ukamilifu haswa na kwa asili ya vyote vilivyomo katika ulimwengu huu hakuna kilicho na ukamilifu!!atiUmaskini ni udogo wa kipato kisichokidhi mahitaji ya wakati husika. Full stop. So, umasikini uko katika kipato ama mali si vinginevyo
Sio wazazi tu bali, Wazazi maskini hawa ndio wana endeleza Umaskini duniani.Kwa hiyo, unamaanisha lawama zote ziende kwa wazazi?
Labda kama unatafsiri zako binafsi. Angalia kwenye kamusi maana ya umaskini ama poverty kwenye dictionaryKutokidhi mahitaji kwa wakati husika wala si umaskini,,na kukidhi mahitaji kwa wakati husika haimaanishi na wala si Utajiri pia!!kutimiza mahitaji kwa wakati husika kunahitaji ukamilifu haswa na kwa asili ya vyote vilivyomo katika ulimwengu huu hakuna kilicho na ukamilifu!!
Kutoa msaada ni tofauti na kuleaHahaha misaada anayotoa billget ni zaidi ya kulea watoto 1000. Kinachosababisha wapokezane kwenye list ya matajiri ni kupanda na kushuka kwa investments zao (hasa hisa)siyo matumizi yao wala misaada yao