Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

kama "huko"! Neno hili lina maana gani kati ya haya mawili,​

1. Umo (uko).​

2. Haumo.(hauko, huko).
 
Punguza ulimbukeni dogo Hawa ndo vijana wa Ilala akiwa na iPhone macho matatu tayari katoboa yaani yupo radhi atoe jicho Moja apate matatu
 
Kama "huko" ??
 
Nilivosoma hoja namba 1 niliweka attention nikifiri umeongea vya msingi, ili nilivyoendelea mbele nikagundua ni pumba tupu 🚮
 
Nakurekebisha unasema nimekwazika mkuu!?😳😳😳😳
Nikupe mfano wa OPPO tu,Ulaya matajiri sasa hivi wanakimbilia OPPO.
Sasa wewe mshamba umeshikilia simu ni samsung na apple imekula kwako.
Mkuu mimi nipo kwenye kundi aliloongea mshikaji ila kuhusu simu Apple na Sumsung ni simu bora sana Jaribu kutumia hata ya zamani ile S 21 + 5G ndio uendelee kwenye 23 huko Ulaya kutumia kitu sio kigezo chochote cha ubora wa kitu wale jamaa wana displine ya hela sana wapo wanaotumia baiskeli kwenye shughuli zao ila hiyo baiskeli yenyewe ni kama IST kwetu...
 
Apple/I phone nimewahi itumia Iphone X japo nilipewa sikununua,Iphone kiufanisi naweza sema hamshindi Samsung,Samsung nimezinunua sana hususan model za NOTE,model za Note karibia zote nimenunua.
Samsung ndio ni simu bora kiufanisi wa software yake na masuala mengine.
Ila jaribu matoleo mengine kama Huawei,OPPO,XIAOMI uone jinsi zilivyo na ufanisi pia.
Mie nina OPPO reno bro tafuta OPPO reno yeyote kaitumie uone,hutojutia kununua.
Au kuhusu vivo kanunue vivo X90 kesha ucheki ufanisi wake upoje.
Kwa hizi simu kuanzia kasi ya internet,camera,durability vyote vinakimbizana na hizo Samsung.
Unavyovipata katika Samsung hukosi kuvipata katika hizo simu nilizotaja tena karibia asilimia ile ile.
 
Mkuu sio kweli bhana mimi nipo SA na hapa simu hizo zote ndio zimejaa aisee hivi vitu mnavitoa wapi au mkitumia refurbished hizo za Dubai ndio mnakuja na majibu ya jumla nakwambia sio kweli unachoongea...Over
 
Mkuu sio kweli bhana mimi nipo SA na hapa simu hizo zote ndio zimejaa aisee hivi vitu mnavitoa wapi au mkitumia refurbished hizo za Dubai ndio mnakuja na majibu ya jumla nakwambia sio kweli unachoongea...Over
Mkuu uwe na asubuhi njema.
Mie kubishana siwezi.
Halafu sio kila mtu hutumia vitu refurbished.
Usikariri maisha namna hiyo.
KWAHERI.
 
Yani hapo namba5 tu ndio nimeimudu, maana kwa wiki naendaga kwa morombo mara moja, kimundo mara mbili... kote huko nafata nyama choma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…