son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Lini wizi uliisha kipindi Cha jiwe mtaani kwetu kulikuwa kunasafishwa mpk sungusungu ikaanzishwa baada ya kufa watu wakawa wanasafishwaHapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Sawa mwenye vyeti feki..ila ndo hivyoo umeshatumbuliwaaa yaaanii..hurudi tenaaKipindi kile udokozi ulikuwa wa matrilion
Kwani hukusikia Rais wetu Samia Suluhu akisema wizi umeanza kushamiri kwa kasi. Na yeye alisema kwa kuchekesha?Lini wizi uliisha kipindi Cha jiwe mtaani kwetu kulikuwa kunasafishwa mpk sungusungu ikaanzishwa baada ya kufa watu wakawa wanasafishwa
Jiwe aliweza vp kuzuia wizi mtaani?
Kuna watu mnachekesha Sana
Tumeshuhudia ukabaji uvunjaji mwingi labda Kama ulikuwa unaishi ushuani...
Kwahyo vituo vya polisi kipindi Cha jiwe kulikuwa hakuna wahalifu ,vituo si vilikuwa vinajaa wahalifu kibao Tena pomoni?
Kuna watu mnachekesha Sana asee
SafiKuna dogo wiki imepita kakwapua simu ya dada anapita barabarani dogo alikuwa anaendesha pikipiki bahat mbaya pikipiki imeyumba imeanguka
Wamepiga mpka jamaa akiguswa kifua anatema damu puani na mdomoni sjui wamemvunja nini ndani pikipiki yake wameichangua changua imebaki bomba
Ila dogo kafa
Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Tofautisha wizi na ujambazi manKwani hukusikia Rais wetu Samia Suluhu akisema wizi umeanza kushamiri kwa kasi. Na yeye alisema kwa kuchekesha?
Unatofautishaje wizi na ujambazi?Tofautisha wizi na ujambazi man
Hakusema wizi bali ujambazi
.wavuta bangi,maskani za wahuni kibao ,vitoto havisomi kazi usela na bangi wizi utaishs haswa kizazi hiki cha singeli labda mwenzetu unaishi masaki..
Njoo buguruni halafu urudi kusimulia huko kwenu
Hawa watu hawataki kusikia Magufuli akisemwa kwa jema lolote. Chuki zimewajaa hadi wanakonda.Wala usimshambulie mtoa post, maana hata mama Samia mwenyewe alikiri kuwa wizi na ujambazi imeanza kurudi kwa Kasi na akaomba Kuna polisi arudishwe maana alionekana kupambana nao vizuri
Upo sahihi last week kibaka karuka ukuta kazama kwa nyumba asijue ya mjeda, kabeba flat screen, kumbe mjeda kajibana anamchora tuu, akawapigia cm wenzie kama watatu hivi ... walimpa kipigo cha mbwa mwiziMkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Wap hukoHuku kwetu ndan ya week mbili hizi tayari vijana wanne wamechomwa moto na kupigwa mawe na raia wenye hasira kali.
KibahaWap huko
Aliye weak ni nani sasa. Sema tuelewe.!!Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Kama una nia ya dhati ya kupambana na huo ujambazi taja location tusaidie ulinzi shirikishi na makamanda wetu unless hizi ni propagandaMkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Huko palipo na wizi ni mitaa ya kuzimu?Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Ulikuwa kwenye tafiti mkuu? Au ulijikuta tuu unazunguka mkoa wote ulipo nyumba kwa nyumba kukagua aliyeibiwa na aliyesalimika ??Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Sisi huku kila siku ni milio ya bunduki masikioni mwetu.Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Unataka kazi imuelemee mara ngap?Uongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.