Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nauchukia ule mlio wa Alteza, basi tu..Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauchukia ule mlio wa Alteza, basi tu..Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Inazingua kweli yani, ila naona Opa nyingi nazopishana nazo zina mlio ule ule wa buuuuh! Sasa sijui ni kwamba na wao wanapuuza tu kama mimi. Opa nyingi ni C na B number plate hapa mjini. Ila fundi alinambia nivue muffler niweke mpyaNauchukia ule mlio wa Alteza, basi tu..
Inawezekqna kwa sababu nilishaona IST yenye tatizo hilo hiloInazingua kweli yani, ila naona Opa nyingi nazopishana nazo zina mlio ule ule wa buuuuh! Sasa sijui ni kwamba na wao wanapuuza tu kama mimi. Opa nyingi ni C na B number plate hapa mjini. Ila fundi alinambia nivue muffler niweke mpya
Fanya biashara,watu wananunua..Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Haya madude sio mepesi kweli? Sijajua uzito wake ila naona kama Kwa kilo utampa mengi sana.
Ukiitikisa unasikia vitu vinagongagonga ndani. Kile kiwambo sauti unakuta kishapata kutu na kimekatikakatika.Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Jamani, imesemwa hivii:
Baada ya masega inawekwa sensa ...
Siyo Badala ya masega inawekwa sensa!
Tatizo lilikuwa dogo tu kumbe... lugha!![]()
![]()
Kweli kabisa. Hata mm nilipata tatizo kama hilo .gari ilikua haina nguvu. Fundi akatoa hayo masega carbon iliziba.mpaka sasa gari ina nguvu ila mlio ulibadilika kidogo na hakuna shida nyingine iliyotokea mpaka sasaYou are right.
Ist ilianza kuwa nzito na kukosa nguvu kabisa kwenye kamlima kadogo tu au kuovateki...
ah ah ukichungulia kwenye exhaust tu ukakuta kumechomelewa andika umeumia..na gari linakua zito sanaHuu wizi umeshamiri sana na kututia hasara,je ni mbinu gani itumiwe ili kuidhibiti ?au hata kujua tuu kuwa yametolewa..... Maana unaweza kumpa mtu gari akaenda na akakurudshia akiwa ameshayalina hayo masega
Inabidi watu kama hao wakamatwe na waeleze wametoa wapi hizo bidhaaHuu wizi umeshamiri sana na kututia hasara,je ni mbinu gani itumiwe ili kuidhibiti ?au hata kujua tuu kuwa yametolewa..... Maana unaweza kumpa mtu gari akaenda na akakurudshia akiwa ameshayalina hayo masega
Kwanza kabisa kagua physically gari yako, yaani ingia uvunguni angalia kama ile muffler imekatwa na imechomelewa. Ukiona kuna uchomeleaji mpya ujue umeumizwa. Lkn pia gari inakosa nguvu sana, ukiiendesha lazima utaona utofautiNaomba kueleweshwa natambuaje gari wametoa hayo masega pindi tuu ninaporudishiwa toka kwa niliemuazima kabla hajaondoka?
Maana kuna namna ya kukagua penati za barabarani kabla hajaondoka basi tujulishane na hili
Watanzania bhana..! Kama unaamini hao wauzaji hapo ndio wezi wenyewe kwanini hujatoa taarifa polisi au Takukuru wadeal nao?Huu wizi naona umeshamiri mpaka watu wanauza hayo masega public.
Hawa ndo wezi wenyewe inabidi wakamatwe maana wanatuharibia magari yetu.
View attachment 1680117