Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Nauchukia ule mlio wa Alteza, basi tu..
Inazingua kweli yani, ila naona Opa nyingi nazopishana nazo zina mlio ule ule wa buuuuh! Sasa sijui ni kwamba na wao wanapuuza tu kama mimi. Opa nyingi ni C na B number plate hapa mjini. Ila fundi alinambia nivue muffler niweke mpya
 
Inawezekqna kwa sababu nilishaona IST yenye tatizo hilo hilo
 
Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Fanya biashara,watu wananunua..
Hyh.jpg

"Be Humble"
 
Basi miaka yoooote nilikuwa natafuta sababu ya hizi gari kuwa na bei Chee wakati muonekano wa gari nzuri ma yenye mvuto,why iwe na bei hiyo??!

Kwanza ntashukuru muliza swali kwani ndie aliechokonoa hili tatizo na kupata ufumbuzi kwa huyu mtaalamu,(hapa ndipo palikuwa shida na kila alieulizwa alikuwa Hajui)
 
Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
Ukiitikisa unasikia vitu vinagongagonga ndani. Kile kiwambo sauti unakuta kishapata kutu na kimekatikakatika.
 
You are right.

Ist ilianza kuwa nzito na kukosa nguvu kabisa kwenye kamlima kadogo tu au kuovateki...
Kweli kabisa. Hata mm nilipata tatizo kama hilo .gari ilikua haina nguvu. Fundi akatoa hayo masega carbon iliziba.mpaka sasa gari ina nguvu ila mlio ulibadilika kidogo na hakuna shida nyingine iliyotokea mpaka sasa
 
Huu wizi naona umeshamiri mpaka watu wanauza hayo masega public.

Hawa ndo wezi wenyewe inabidi wakamatwe maana wanatuharibia magari yetu.

Screenshot_20210117-191933~2.jpg
 
Huu wizi umeshamiri sana na kututia hasara,je ni mbinu gani itumiwe ili kuidhibiti ?au hata kujua tuu kuwa yametolewa..... Maana unaweza kumpa mtu gari akaenda na akakurudshia akiwa ameshayalina hayo masega
 
ah ah ukichungulia kwenye exhaust tu ukakuta kumechomelewa andika umeumia..na gari linakua zito sana
 
Huu wizi umeshamiri sana na kututia hasara,je ni mbinu gani itumiwe ili kuidhibiti ?au hata kujua tuu kuwa yametolewa..... Maana unaweza kumpa mtu gari akaenda na akakurudshia akiwa ameshayalina hayo masega
Inabidi watu kama hao wakamatwe na waeleze wametoa wapi hizo bidhaa
 
ni vema kuanza kuwakamata hawa wauzaji ili kuwafikia wale wanaozitoa kwenye magari.

Kamanda Sirro anasubiri mpaka gari lake lianze kutoa mlio usioeleweka ndiyo atatoa maelekezo kwa makamanda wa polisi kushuhuliska na huu wizi.
 
Huu wizi wa catalytic converters umeshamirisana mijini. Nasiki kuna unga unga wanatoa kwenye hizo converters na wanatumia kama laxative. Hili nitatizo jipya hapa mjini
 
Naomba kueleweshwa natambuaje gari wametoa hayo masega pindi tuu ninaporudishiwa toka kwa niliemuazima kabla hajaondoka?

Maana kuna namna ya kukagua penati za barabarani kabla hajaondoka basi tujulishane na hili
 
Kwanza kabisa kagua physically gari yako, yaani ingia uvunguni angalia kama ile muffler imekatwa na imechomelewa. Ukiona kuna uchomeleaji mpya ujue umeumizwa. Lkn pia gari inakosa nguvu sana, ukiiendesha lazima utaona utofauti
 
Back
Top Bottom