Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Kwa kuongeza waliojenga ni Watanzania tena bure bila malipo stahiki. TL huu ndio mwisho wake hawezi kuwadhihaki Watanzania kiasi hiki. Yeye aende akatulie huko Belgium apumuliwe vizuri kisogoni.
Watanzania wapi unawasemea?
 
Hizi ni akili mgando....kutokwenda kwenye mkutano sio dalili ya kuchoka chama..Chadema wengi ni wasomi na wafanya biashara na sio jobless...watu wametingwa na majukumu ila Kura tunampa Lissu....
Mmeanza kusalim amri wenyewe 😂😂, nyie kubalini tu kuwa Kanda ya ziwa hawana mpango na nyie, eti chadema sio jobless, hayo malalamiko ya ajira mnayatoa ya Nini kila siku🤔?
 
Sera za nini? Tumechoka u dikteta.
 
Mnyika anajiotesha ndoto.

Lisu kura laki mbili na nusu hafiki
 
Kaka tusubiri october maneno ya nini

Chini ya rais huyu na tume hii isiyo huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya kipimo cha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hapo ndo unapofeli mzee....Yaani kama magufuli ameweza kuwa rais kwa miaka hii mitano, basi nchi hii mtu yoyote anaweza kuwa rais hata Mimi na wewe
Kweli kabsa kwani magufuli hakuwa na kipawa cha Urais lakini kaweza kuwa Rais sembuse wengine?
 
We ni mtu ovyooo.
Nakufananisha na mkasi ambao ili utende na kuongea vema lz ushikwe kwa ustadi backward.......uku......
Wenye akili nazani waliielewa comment yangu vizuri sana na wala haipo hivyo kama unavyo fikiria ila yote kwa yote asante kwa kunitukana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…