Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Safi sana, hiyo inaitwa KUWEKA REKODI SAWA.. sio kudanganya wananchi hapa.
Kama kweli unatoka Mwanza nifikishie salamu zangu za heshima kwa wana Mwanza...Jana mlimpa Lissu heshima iliyotukuka...Tuliaminishwa lake zone ni ngome ya CCM Ila jana mme msuprise Meko...saivi anatumia dozi ya kupunguza depression....hongereni Sana.
 
Mapokezi ya Lissu popote, yanaweza yakalinganishwa na mapokezi ya tanker (lori) la petroli linapo anguka. Mara nyingi lori la petroli likianguka, watu wenye akili fulani, wanalikimbilia na mara nyingi mwisho wake huwa siyo mwema!
 
Ile hotuba kapiga, kaua, kagalagaza.

Kaongea mengi tulishajadili hapa.
 
Hivi kisheria Tundu anaruhusiwa kukanyaga ardhi ya Mwanza?
Kilichofunguliwa mbinguni duniani ndio kabisaaa, mtapata tabu sana na Lissu, nyuma na mbele yake kuna nguvu ya kiroho inafanya kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…