Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Ficha upumbavu wako wewe, si lazima kila jambo ulizungumzie! Malaria ipo Tabora na Singida itakosa Mwanza? Eti Mwanza wana afya! Sogea hapo Bugando uone wasukuma wanavyotaabika.

Kuna mwanadamu wa leo asiyehitaji bima? Kujua umuhimu wa bima kunahitaji hata elimu ya chekechea? Uvyama usitutoe akili. Tumia nafasi yako kuwashauri wakubwa wa chama chako kutambua na kuboresha huduma muhimu za kijamii kwa wananchi pale mnapopata fursa ya kuongoza, si kuwafanya wananchi mazuzu.
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Salamu mlishazipata kwa Pambalu pale nyamagana juzi
Sasa Lissu anakuja kupiga kazi zaidi.
 
Safi ndugu ,kuna wengine humu wana leta mzaha kwa afya za watu.Tuendelee kuelimishana .
 
Hana Hoja yoyote
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi

Hata wale hawajapandishiwa mishahara na wa vyeti feki huwaambii kitu
 

Lakini wenyeji wanakula samaki kwa bei ghali
 
Tunaishukuru sana Molemo media , usisahau kusajili camera yako ya drone hapo mwanza kwa gharama ya tsh laki 1
 
MAMBO YA SIKU 100 ZA KWANZA

Ndani ya siku 100 tangu siku ya kuapishwa kwa Rais na Wabunge,
watakaokuwa wamechaguliwa, Serikali ya Chadema itafanya
taratibu zinazohusika ili kuhakikisha yafuatayo yanatendeka:

i) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya
Maridhiano, ambayo pamoja na mambo mengine itaanzisha
Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuondoa hofu ya
uwezekano wa vitendo vya kulipiza visasi na kuunganisha
nguvu za wananchi wote bila ubaguzi wa vyama katika
kuongoza Taifa letu.

ii) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya Ubia
kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi juu ya Utoaji wa
Elimu Bure kuanzia elimu ya awali hadi Sekondari.

iii) Serikali itapunguza kiwango cha marejesho ya mikopo
ya elimu ya juu hadi kufikia asilimia tatu (3) ya mshahara
wa mnufaika na kutanua wigo wa muda wa marejesho
hadi kufikia miaka 25 tangu mnufaika apate ajira. Aidha,
Serikali itafuta riba na tozo zote zitokanazo na adhabu ya
kuchelewesha marejesho ya mkopo wa elimu ya juu.

iv) Serikali itashirikiana na sekta binafsi kuweka utaratibu
wa kutoa huduma za afya ya msingi kwa wananchi bila
malipo.

v) Serikali itarejesha mchakato wa Katiba Mpya kuanzia
ilipoishia Rasimu ya Tume ya Marekebisho ya Katiba ya
Jaji Warioba

vi) Serikali ya Chadema itatekeleza matakwa ya Katiba
kuhusu Tume ya Pamoja ya Fedha ya Muungano ili kila
nchi Mshirika wa Muungano ipate mgao wake wa fedha
kwa mujibu wa Katiba na sheria.

vii) Serikali ya Chadema itarejesha uhuru wa vyombo vya habari
ikiwa ni pamoja na kuruhusu vyombo hivyo kurusha moja
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli
Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
[emoji38][emoji38][emoji38] mataga buana! Busisi ni Mwanza mjini?! Sisi wana Mwanza jiji hatujasahau tulikuwa na soko kuu lakin hivi Sasa hatuna, tulikuwa na stand ya mabasi pale Nyegezi Sasa hivi hatuna. Na tunajua kabisa pesa tulizofadhiriwa na world Bank kwa ajili ya miradi hiyo jiwe alizichukua akazihamishia chamwino kujenga makazi yake. Sasa tumeamua kura zetu zote kwa MH. Tundu Lissu.
 
Lakini wenyeji wanakula samaki kwa bei ghali
Mwanza watu Wana pesa wewe mijini Hadi vijijini soda kukuta kijijini inauzwa elfu moja sio kitu Cha ajabu sababu ni kuwa vijijini Kuna utajiri wa mifugo,pamba na samaki na dhahabu Purchasing power Yao iko juu .Mjini Wana hela na vijijini Wana hela hiyo ndio sababu
 
Tutahakikisha Wananchi wanaacha kula mapanki mara moja
 
CHDM ruzuku mmepeleka wapi? Mbona hata matangazo hakuna? Maana huku watu Wala Hawana taarifa,au mpaka tuingie jf? Na you tube? au ndo mikakati ya mbowe kumhujumu Lisu ishaanza? Safari hii mbowe atauza hadi mgombea heheheeee.
Buzuruga jana limepita gari la matangazo likitangaza
 
Safi ndugu ,kuna wengine humu wana leta mzaha kwa afya za watu.Tuendelee kuelimishana .
Kuna watu wa ajabu sana ambao naamini uelewa wanao wa kutosha ila wanajitoa ufahamu tu kwa maslahi binafsi. Huku vijijini watu wanakufa kizembe sana kwa kukosa fedha za matibabu kidogo tu ambazo kwao in kubwa sana anaogopa kwenda hata zahanati kwa kuogopa hizo gharama hizo kumbe Israel naye hachezi mbali.

Hawa ccm walioshikilia serikali wanatakiwa wafahamu kuwa wananchi wana umasikini wa kuwatosha, gharama zozote kwenye huduma muhimu kama afya lazima zigharimu maisha ya watu. Mtu akija na sera ya kuboresha bima ya afya lazima aeleweke, ni kichaa pekee ndiye hatomuelewa. Dunia ya leo hata vijijini watu wanabadilika na wanajua kuchambua point na pointless. Wasijidanganye na kubweteka kwamba miaka yote mambo yatakuwa mteremko kwao.

'Mwisho wa ubaya huwa ni aibu'
 
ule mtiti wa Arusha Jana si mchezo aisee,Ni kama vile watu wanahasira mioyoni.Juzi segerea watu wangefika hadi ubungo wakimsindikiza Lissu sema busara zilitumika kupunguza msongamano ikabidi wachape mwendo
Hahahha ni kama vile kiba anayo ndege sema tu hapendi kujionesha[emoji23]
 
Hata wale hawajapandishiwa mishahara na wa vyeti feki huwaambii kitu
Ni idadi gani ya wapiga kura wote? Jitu Lina vyeti feki Nani analitaka pumbafu zake .CCM hatutaki kura zao Tena waambieni kabisa hatuzitaki.Jitu linazibia nafasi ya vijana wamekesha wakisoma hawalali wapate vyeti halali lenyewe linaenda kubana nafasi .Hata wakija Mkutano wa CCM Mimi nikiwajua nitawakimbiza na panga waje kwenye mikutano yenu Chadema matapeli wenzao
 
Bugando na sekou toure kumefurika wagonjwa tele, hospital ya Butimba, vituo vya afya Kama vile buzuruga, nk watu wamefurika, unadhani hizo ni kumbi za harusi na hao watu wako harusini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…