Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Ccm wamechoka wamekua wazee hawana nguvu tenaaaa..... Kimoko tu chaliiii.....

Tundu Lissu Rais
Toka waende dodoma sijawasikia tena. Unategemea mtu kwma Ndugai angefanya vipi Kampeni?? Mwili wenyewe afya iko wapi??
 
Leo huko ikungi singida amewaomba wananchi wamuombe lissu amuachie uraisi atamtafutia kazi.
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi

Badala ya kujengea daraja:-

Barabara ya Sengerema - Katungulu - Kamanga.

Katungulu - Nkome.

Geita - Kahama.

Kigongo ferry - Kahama.

Sengerem
a - Nyehunge - Kahunda


BARABARA ZOTE HIZO ZINGEJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI, UCHUMI UNGEPAA.

Daraja ni mlango wa kupigia pesa (10%) RUSHWA.
 
Kuna majina si ya kuwapa watoto. Wazee tunakosea sana!
 
Pambana lissu tupo nyuma yako.
 
Lissu kuleta kishindo Mwanza ni ndoto za mchana. Kwa wadhamini tu alipita hata boda boda hawakuwa na muda nae
 
Ulishaona wauza mapanki Mwanza wangap? Kila Kona sato kibao
Sato bei kwa sisi walalakufa haishikiki. Tunaambulia mchuzi wa panki wanaouzwa hapo Mwanza south. Bei ya panki ni saizi yetu. "Mhuuu. Mayu wane"!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…