Chief gogo
Member
- Aug 13, 2020
- 63
- 46
Unajitahidi kufuatilia online ya Chadema bila shaka unahitaji ajira usaidie kuiendesha.Ila maudhui ya Tv yako yako uzingatie tabaka la wakubwa la sivyo tutakung'oa kucha.HahahahahahahahahaKama online tv yao imewashinda kuendesha nchi wataiwezea wapi!!!?????
Ndio mipango yenu kung'oa watu kuchaππUnajitahidi kufuatilia online ya Chadema bila shaka unahitaji ajira usaidie kuiendesha.Ila maudhui ya Tv yako yako uzingatie tabaka la wakubwa la sivyo tutakung'oa kucha.Hahahahahahahahaha
John Pombe Magufuli anatoshaHuu mkutano wa lisuu, watu hakuna kabisa, mtaani kumepoa Kama vile hakuna kinachoendelea π²π², π€£π€£π€£..! Sasa Mwanza Magufuli unamtoaje,ujenzi wa stend mpya ya kisasa, mradi wa ujenzi wa soko kubwa la kimataifa Mwanza Kati, ukarabati wa uwanja wa ndege, Barbara, daraja la busisi, Tundu atawaambia Nini watu wamuelewe?π. Watu hakuna kabisa hapaππ
Hata Mimi sijui.Ndio mipango yenu kung'oa watu kuchaππ
We Kama unakula panki Ni wewe na ukoo wakoππ, samaki nyingi tu.Kimsingi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Sato bei kwa sisi walalakufa haishikiki. Tunaambulia mchuzi wa panki wanaouzwa hapo Mwanza south. Bei ya panki ni saizi yetu. "Mhuuu. Mayu wane"!!!
Hujui ulichoandika!!!???Hata Mimi sijui.
Kwa nilichokiona hapo furahisha, chadema Hawana kitu Mwanza ππJohn Pombe Magufuli anatosha
Hivi kisheria Tundu anaruhusiwa kukanyaga ardhi ya Mwanza?
Wakati huo watu wa Mwanza hatusikii honi ya meli CCM ilikuwepo au vipi? Hata wakati wa mkoloni kulikuwa na meli zinatembea ziwa Victoria.Chadema mazombi sana wanapiga vita ununuzi wa ndege, lakini Lissu anatumia ndege hizo kusafiri kuwahi mikutano,Dar to Kilimanjaro na Kilimanjaro to Mwanza.
Mwanza hawatamuelewa kabisa mji ule ulikuwa kimya kwa miaka 25 bila kusikika kwa HORN ya Meli kubwa.HORN hiyo imerudishwa na JPM kwa kutupia meli mbili kubwa MV Victoria na MV Butiama aka HAPA KAZI TU. Kanda ya ziwa symbol kuu ni Meli na HORN zake zinapopigwa kuashiria kung'oa au kutia nanga you always feel the environment of the beautiful ROCK CITY.Tundu Lissu hana cha kusema pale.Magu ni mtoto wa Mwanza
Tuliwaambia hawakusikia wacha wayaoneKwa nilichokiona hapo furahisha, chadema Hawana kitu Mwanza ππ
πππNa Wasiende Geita kabisaa, huko wanaweza kuhutubia miti tu..!Tuliwaambia hawakusikia wacha wayaone
Hata Mimi sijuiππππππNdio mipango yenu kung'oa watu kuchaππ
Hamnazo wewe? Aruhusiwe mwizi na mporaji wa KOROSHO akataliwe mtetezi wa wanyonge? Aruhusiwe waziri wa amani mnyapara wa nyumba aliyeuza nyumba kwa mahawala zake akataliwe mpambanaji lisuHivi kisheria Tundu anaruhusiwa kukanyaga ardhi ya Mwanza?
Updates hakuna. Hawajajipanga vizuri awamu hii.Updates jaman