Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Ccm kwa sasa hivi wamehamia kwenye kushindanisha umahiri wa kucheza SINGELI baada ya mgombea wao kuwaruka kwenye sera na kujikuta anaongelea kugongana bila kinga.
Kweli, juzi nilimsikia msanii mmoja anaimba.. VUA SHATI.. wakavua kijani zao, nadhani maji yakizidi unga atawaambia wavue suruali.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ccm haijawahi kukubalika mwanza toka mwaka 1995

Uwa wanatumia kete ya ukabila ila now watu wameshajitambua

Magufuli atasombwa na kumbunga kikali Sana na hatosahau huu mwaka ktk historia ya maisha yake.
 
Kingine Lisu amekuwa akiongelea kuwa watatoa bima ya afya Bure !! Mwanza ni mkoa mmoja wapo unaoongoza kwa watu wake kuwa na afya hawaugui ugui hovyo Hakuna malaria kule na hata wakiumwa wengi huwa hawaendi hospital wanatumia dawa za kienyeji .Hiyo bima yake ya afya ana kazi ya ziada kuielezea Mwanza waielewe!!!
 
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema amesema “ Leo Magufuli amefika Ikungi nyumbani kwa kina Lissu na kusema atamtafutia Lissu kazi ndogo ndogo aachane na Urais, na sisi tunamjibu Magufuli kuwa Urais sasa baasi kuanzia 28/10/2020 Rais atakua ni Ndugu Tundu Antipas Lissu.
 
Huyu mtu anajuwa mpaka anakera

Nimecheki video ya hotuba yake mpaka nimetamani kulia machozi jamaa ameshangiliwa mwanzo wa hotuba mpaka mwisho kwa muda wa karibia dakika 50

Kweli watu wamechoka na wanataka mabadiliko.
 
Tundu Lisu leo katika mkutano mwanza ameuelezea umati wa watu kuwa reli kutoka dar to kigoma ilijengwa na wajerumani, reli toka dar to Arusha ilijengwa na mjerumani, tabora to mwanza ilijengwa na mwingereza, badari, viwanja vya ndege na viwanda, kwanini tuliwafukuza wazungu?
Huyu ashindane na Membe tu ndo saizi yake
 
Ila siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
 
Back
Top Bottom