Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Magufuli yuko sahihi, TL kupewa nafasi ya urais kwa sasa is premature. Sina tatizo na TL kiwa rais but anahitaji kujijenga na kujiandaa kwa nafasi hiyo. Sijwahi kupiga kura, but TL akibadilika comes 2025 nikiwa hai naweza kupiga kura kwa mara ya kwanza na nitampa kura yangu TL. Hata hivyo si jambo kuangalia upepo kwa maandalizi ya 2025John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema amesema “ Leo Magufuli amefika Ikungi nyumbani kwa kina Lissu na kusema atamtafutia Lissu kazi ndogo ndogo aachane na Urais, na sisi tunamjibu Magufuli kuwa Urais sasa baasi kuanzia 28/10/2020 Rais atakua ni Ndugu Tundu Antipas Lissu.