Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema amesema “ Leo Magufuli amefika Ikungi nyumbani kwa kina Lissu na kusema atamtafutia Lissu kazi ndogo ndogo aachane na Urais, na sisi tunamjibu Magufuli kuwa Urais sasa baasi kuanzia 28/10/2020 Rais atakua ni Ndugu Tundu Antipas Lissu.
Magufuli yuko sahihi, TL kupewa nafasi ya urais kwa sasa is premature. Sina tatizo na TL kiwa rais but anahitaji kujijenga na kujiandaa kwa nafasi hiyo. Sijwahi kupiga kura, but TL akibadilika comes 2025 nikiwa hai naweza kupiga kura kwa mara ya kwanza na nitampa kura yangu TL. Hata hivyo si jambo kuangalia upepo kwa maandalizi ya 2025
 
Chadema leo mmeamua kuwabeba watu kwenye malori na mafuso kama wanavyofanya wale wa Magufuli.
Acheni hizo bwanaaaaa

Nimejaribu kuwaza kama MATAGA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tupia picha ya waliobebwa na malori
 
Ila siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
Hujuma nyumbani zinashindikana hata ugenini pia,mbona ugenini imekuwa zaidi ya nyumbani? Mwenye jibu tafadhali.
 
Je hivyo vyote wazungu walijenga bure? Hakukua na forced labour, harsh taxation,discrimination na factors nyingine za kumkandamiza mzawa?
 
Hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bila ukibaka wa kura CCM hawashindi uchaguzi.... 100% sure!!
 
Karibu mwanza but hautapapenda.
Pakoje mkuu? Nilikuwa nataka nije kutembea huko next likizo hata kwa wiki moja maana marafiki wazawa wa huko wanapasifia sana.
Vipi na kuhusu fursa za uwekezaji especially kwenye Fishing industry hapo Lake Victoria?
 
Mwanza mmefunika dadadeq...

Kuwapiku aite wasanii wote anaowajua..
 
Tumetoka kumsindikiza Kamanda Lissu, Hotelini 'Aden Palace Hotel' ipo hapa Iloganzala. Japo mwanzo walikataaa kumpa sehemu ya kulala.
IMG_20200901_183602_5.jpg
IMG_20200901_183555_6.jpg
IMG_20200901_183546_8.jpg
IMG_20200901_180333_2.jpg
IMG_20200901_180305_0.jpg
IMG_20200901_180248_6.jpg
 
Go Lissu, wewe ndie mwenye uthubutu kumnyoshea kidole bwana yule.

Wawe na macho maana yawezekana wa upande wa pili wapo kwenye bao la mkono kupindisha kura . Mnakumbuka akina nape 2015 masaki? CDM WHATCH OUT
 
Naona machoko mpo hapa mnafurahishana tu jinsi ya kupigwa miti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom