Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1732][emoji1732][emoji1732] We jamaa wewe ni ful comedian aisee nimecheka balaa
Kipindi cha nyuma magu akiongelea mambo ya kugongana.

Ki ummy mwalimu kilikuwa kinakuja na kumsafisha safari hii anavyobwabwaja sijui nani atakuja tena kumsafisha labda ajitolee kufanya hiyo kazi.
 
Kuwe na fair play basi, sasa mnapitisha wabunge bila kilupingwa kisha mnajimwambafay.
Somo unakosea.

Kama wagombea wenu hawawezi hata kujaza forms kwa usahihi unataka wabebwe?
 
Wewe jama....umenivunja mbavu
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
 
Mkuu hivi barabara gani ambayo alijenga mkoloni ambayo mpaka leo bado ipo?
Ujenzi wa miundombinu mbalimbali unategema expansion ya population ambayo inaendana na kukua kwa miji so lazima utajenga tu miundombinu mipya.
Chukua mfano wa bandari lazima ubora wake uwe upgraded maana inahitaji kukidhi mahitaji ya kipind hiki though ilijengwa na mkoloni lakin ilivyoleo unaweza linganiasha na ya mkoloni 5yrs before, vivyo hivyo dar airport...
Hawa jamaa uwezo wa akili zao kufikiri ni mdogo sana
Bandari ya Dar iliitwa Princess Margret RIP, mdogo wake Malkia wa sasa, baada ya maboresho makubwa na Waingereza. Kiwanja
cha ndege cha Dar kilikuwa Temeke ulipo Uwanja wa Uhuru ambao ilijengwa baada ya Waingereza kuhamishia Uwanja wa Ndege ulipo sasa kwa kujenga Terminal One, Nyerere akajenga Terminal Two na Kikwete akajenga Terminal Three iliyofunguliwa na Magufuli. Hospital ya Muhimbili nayo ilikuwa inaitwa Princess Margret Hospital baada ya Waingereza kuihamisha toka mkabala na Railway Station huko ikiitwa Sewa Hajji Hospital mpaka kuna Wadi ya jina hilo. Awamu hii wajinga wengi wamejitokeza kusifia viongozi waliopo madarakani kwa mambo ambayo hayapo au yamefanywa na watu wengine, yote hayo kutafuta uteuzi mpaka viongozi nao wanaonekana wajinga kwa kutokemea. Mwanzilishi ndo wa maana kuliko mdandiaji!
 
Somo unakosea.

Kama wagombea wenu hawawezi hata kujaza forms kwa usahihi unataka wabebwe?

Huu ndio uchaguzi wa kwanza kufanyika nchi hii? Mbona miaka yote wasishindwe kujaza, ila washindwe baada tu ya Magufuli muwa rais? Ifahamike Magufuli ndio alikuwa muumini wa kupita bila kupingwa wakati akiwa mbunge. Inaonekana sasa hivi yeye ndio engineer wa hiki kinachoendelea cha kupita bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom