Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Ccm kwa miaka mingi wamekuwa wakinufaika na mgombea upinzani dhaifu na elimu ndogo ya wapiga kura kuhusu uchaguzi. Kwa nyakati hizi ambapo vyama saliti vimekufa na vyama halisi chadema na ACt kushirikiana ni wazi kuwa CCM haiwezi kushinda kwenye kura. Na hata wakijaribu uhuni wa.kuiba bado hawatoweza kutokana na mwamko wa watanzania.
 
KABISA NILIKUWA NA KUKUMBUSHA TU KUWA KULE KWENYE UZI WA ROHO MBAYA MWENZIO UMEDODA UTIE HATA NENO KUWA FARIJI WAUAWAJI
Sio huku tu kwenye mikutano tu ni hali mbaya kama ni lazima watu walipwe na kubebwa kutoka sehemu mbali mbali ndio mkutano ujae??
Huko youtube pamoja na kuwa na vikundi vingi kila mkoa vyenye account feki za kujaza viewers bado hali zao ni tete.

Huku twitter nsio usiseme. JF pia wameangukia pua.

Kila mahali. Huko vijijini hali yao mbaya.
 
Hahhahaa mwaka huu mtaumia sana. Mlidhani wapinzani watagawanyika, sasa hao wanaungana tena hadharani.
View attachment 1604845

Ujio wa ponda hasa tukielekea kampeni za kanda ya kusini na Dar ndio kifo chenu.

Bado kuna mmoja wa muhimu utamsikia siku mbili kabla ya kupiga kura stay tuned, goli muhimu linafungwa dk 89...
nadhani hujamuelewa kachero alipozungumzia swala la mpasuko.

Najua huelewi, subiri mpasuko wa dk ya 89 ambao hamna muda wa kuziba ufa hapo..
 
true! wangemuandama sana
 
Timizeni ratiba na utalii, wengine tunaamini Rais ni Magufuli! Karibu kwa povu!
acha ujinga wewe...muandalie mwanao huyo kwenye picha mazingira mazuri huko mbeleni ..mnadhani haya tunafanya kwa ajili ya nani..kama si watoto wetu hawa ukombozi wa watanzania na vizazi vyetu vijavyo umewadia
 
mkuu..kwa arusha mkutano utakua leganga peke yake ? na hapo patatosha kweli naona kama mji utatikisika
 
Kabisa maana hata za kupakazia wanaonekana wapumbavu
 
Tunasubiri 28 october, Tundu tumzibe matundu yake yote.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
hivii huui kuwa mgombea wenu MEKO nidhaifu mpaka anaomba POO apumue hali ni tete kwake. nambie leo yuko wapi ? si huwa anapenda LIVE ata akinunua mihogo munamuonyesha ..sanionyeshe yuko wapi leo LIVE?
 
Huwa ninawashangaa sana tu Watu fulani fulani wanaojidanganya na kudhani kabisa kuwa Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania 2020 hii. Poleni!
Tukipiga kura tutazilinda ili kuzuia masunduku yenu ya kura fake kuingizwa kwenye vituo, safari hii mtabaki nayo huko huko Lumumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…