Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kumbe huyo Askari Jumanne ndo aliongoza wenzake kwenda kumbambikia mstaafu meno ya tembo na amesimamishwa kazi! Maluuni mkubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaezi kuja anajua Nini kitatokea.... halafu kwenye hii kesi ya ugaidi ni miongoni mwa mashahidi upande wa jamhuri; sijui atakuja kama polisi au raia!
Halafu anaonekana vitu vingi katika taaluma yake havijui, protocols za kazi hazijuiSana sana. Shahidi anajichanganya ile mbaya.
Ongeza na hii...... hao walioandika hati ya mashtaka na wanaotoa ushahidi mahakamani kwamba hata Kiswahili kinawashinda? Kuwadhuru viongozi wa Serikali; sasa taja hao viongozi; Sabaya; wengine? Sabaya! Kwamba Sabaya anatajwa kwa wingi amekuwa Mungu?
Bwana Mungu na akasema, "tumfanye mtu kwa mfano wetu ...". Kwanini hati ya mashtaka na ushahidi visingetaja tu kiongozi wa serikali badala ya viongozi! Another mistake on jamhuri's side! You can see the ill motives behind thise case!
Kibatala; unafahamu afande jumanne amesi amishwa kazi kwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki na yeye ni miongoni mwa mashahidi kwenye hii kesi?...
Very interested.Welcome [emoji1488] to our beautiful country of Tanzania where you can give 2 different statements within a very short time and judge will pick the one which is suitable to him/Government.
Kuna watu wanakwenda KUFUFURUSHWA na vyeo vyao...hii kesi ni KUANIKA WAOVU Diipdaiva Darubidi ya MasafaOngeza na hii...
Kwamba hawa [Mahita na Jumanne] ni maafisa Polisi ngazi ya juu kabisa tena kitengo cha upelelezi chini ya RCO wao Kingai mkoa wa Arusha hawajui kuwa DC wa wilaya ya Hai Ole Sabaya toka mkoa wa Kilimanjaro amepanga na kutenda uhalifu wa kutisha ndani ya eneo lao la kazi...
Very interested.
Tatizo wanaapa kwa jina la Mungu kwa Dhihaka,mwenyezi Mungu anawanyoosha na atakae hukumu kwa dhulma atanyooshwa au watanyooshwa!!NIMEGUNDUA JAMBO MOJA:
Katika kusema UONGO kamwe hakuna consistency hata kidogo...
Asipochomoka utaacha kujikojolea kitandani😀😀Mbowe hachomoki.
Yeah nia yao inaonekana kwelikweli[emoji1787][emoji1787]
Nani atakaye wafurusha? Kama Chifu Mkuu mwenyewe alishatoa tamko kitambo la kuwaunga mkono waendesha mashtaka wake!Kuna watu wanakwenda KUFUFURUSHWA na vyeo vyao...hii kesi ni KUANIKA WAOVU ....Diipdaiva Darubidi ya Masafa
Toka lini CCM na policcm wakawa na akili? waziri mwenyewe kakiri wanachukua vilazaMbona mashahidi wa jamuhuri wanachanganyana sana yule mama mbege kasema walikuwa watano huyu wapo sita huyu anasema hajui kama kuna muuza mbege alikuja kuhakiki nchi ngumu hiii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Two different statements based on two different questions prior to it, there’s nothing wrong with the answers, the only fault here is probably your lack for genuine interpretation.Welcome 🙏🏾 to our beautiful country of Tanzania where you can give 2 different statements within a very short time and judge will pick the one which is suitable to him/Government.