Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Waungwana tuhakikishe wosia uko tayari.

Ile saa ya kuwa shahidi mwema inajongea kwani kuna watu yamedhamiria kukwiba na hawajali.
Kwakweli Ushindi ni mnono kwelikweli sasa chonde chonde Viongozi na wahusika wetu wa Chadema kazi ni kwenu katika kuulinda Ushindi huo

Kuna habari zinasema kuna Wachina wabobezi kwenye wizi wa kura wameshaletwa na wako Dar
 
Huyu Lissu sijui tumwite vipi.....mapafu ya mmbwa.....msimlaumu Mzee mnamwonea hii kasi hawezi kuimudu.
 
Acha kadi ya tokea 2007, hata kadi yako ingekuwa namba moja ya mwaka 1992 chama kilipokuwa kinaanza, hakuna mwanacdm duwanzi wa sampuli yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulichomjibu hapa kinasadifu Jima lako mkuu umepiga tindo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Muda unawezwa kuongezwa wakati kuna dharura ambayo lazima mzooefu awavushe, hata Marekani: Roosevelt amekaa muda zaidi ya katiba,zaidi ya vipindi viwili. Hata uchaguzi unaweza kuahirishwa kutokana na dharula ya vita : Uingereza: Winston Churchill, Ufaransa: Charles De Gaulle.

Lakini miaka kumi inatosha, inatoa nafasi ya nguvu mpya na akili mpya.
TUMEKWENDA SAWA LEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…