TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Aisee!!! Mpaka hapa, binafsi nawaachia wafuatiliaji wa mjadala huu nao wapate haki ya kutathmini maelezo tuliyotoa kisha wao wataamua ni " issues zipi ni relevant".Najibu original post yako maana naona unatanua mjadala kwa irrelevant issues.
Mimi hajaniambia jina lake analotumia ila nilichoona ni card yako ya zamani ya kliniki kwenye handbag yakeJoyce mukya mama yetu? Au mama yupi?
Atakuwa mama yako Joyce Mukya. Unakula mama yako?Mimi hajaniambia jina lake analotumia ila nilichoona ni card yako ya zamani ya kliniki kwenye handbag yake
Mtaimba nyimbo zote usisahau Parapanda italia parapanda fuata mdundo wa beetMwaka huu sijasikia wakisema watu waende na peni zao kwamba zile peni zilizowekwa pale na Tume zinafutika na kujiweka sehemu ya mgombea wa ccm
Utapata mdogo wako siku za karibu jiandae kunyang'anywa smart phone ili umtunze bila usumbufuAtakuwa mama yako Joyce Mukya. Unakula mama yako?
Muda unawezwa kuongezwa wakati kuna dharura ambayo lazima mzooefu awavushe, hata Marekani: Roosevelt amekaa muda zaidi ya katiba,zaidi ya vipindi viwili. Hata uchaguzi unaweza kuahirishwa kutokana na dharula ya vita : Uingereza: Winston Churchill, Ufaransa: Charles De Gaulle.
Lakini miaka kumi inatosha, inatoa nafasi ya nguvu mpya na akili mpya.
TUMEKWENDA SAWA LEO.
Mtaimba nyimbo zote usisahau Parapanda italia parapanda fuata mdundo wa beet
Kuna group nashare na rafiki zangu, WAMELEGEAMwaka huu wataomba maji ya kunywa
HojaNaomba mawakara watafutiwe usafiri wa uhakika la sivyo wataporwa fomu za matokeo na watu wasiojulikana alafu iwe imetoka hiyo.
No,mbowe anafaa.mpaka tupate Uhuru wa pili... kwa amsha amsha alizoamsha na mapenzi yake kwa chama; Mh. Tundu Lissu automatically ame over-qualify kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa. Hana mpinzani kwenye hilo.
Wasitembee peke yao pia wasindikizwe pia wawe na mapanga na visu vya kujihami.Hoja
Oyaaaaa πBia yao au dada kawe alumini hana cha kuongea siku hizi utasikia unachuka unaweka waa
Yohane mbatizaji maneno yameisha utasikia maendeleo hayana vyama
Changudoa wa malunde crimea yehoyuda hawana chochote zaidi ya porojo tu.
Daaah hizi buku 7 maskini wisho mwezi huu
Hahaha safi Sana ..hawa wamasai waombe mizimu ya kwao lissu ashinde .akishinda jiwe watafukuzwa wote katika ardhi yao wataambiwa kuwa waaishi ktk ardhi yenye hifadhi ya tiafa π π ..jiwe kwa visasi tenaWamasai wapandisha Mori baada ya kumuona Tundu Lissu huko Manyara
CCM KWISHAAA!!!HAHAHAAA!!!