Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Muda huu Iringa.. Usifikiri watu wote ni wajinga Kama wewe kupigania buku 7 daily. View attachment 1568562View attachment 1568563
Mnajitahidi kupotosha! Iringa na minazi wapi na wapi?

Kila siku nasema Lisu atatia aibu kuliko wagimbea wote waliowahi kugimbea chadema!

Chadema hii ya Lisu ndio mmefikia hatua ya kuokoteza vipicha namna hii?

Ona huyu kamanda enzi hizo kabla wenye chadema yao hawajaamua kuiuza, kisha niambie Lisu anaingia mara ngapi hapo? [emoji116][emoji116]
 
Leta updates za kushikana uchawi huko CCM!! Naona hadi mzee kakodi majeshi kwa mseveni leo
 
Sasa hivi watakuja na bomba la kusafishia zaga,kutoka dom mpka bandari ya hindi.ccm awamu hii imejaa wajinga 99%
 
CCM haijawahi kufutikq Iringa tangu mfumo wa vyama vingi uanze, upinzani umekuwa ukichukuwa Jimbo la Iringa mjini pekee, majimbo yote yaliyobaki hayajawahi kuchukuliwa na upinzani.


Hata hivyo niwapongeze IT wa chadema kwa jinsi wanavyojitahidi kuhariri picha kabla hawajazituma mtandaoni.

Vipi mbona jana hatujapata picha kutoka Morogogoro .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…