Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Siku ya kutambua kufikiria ni siku ya mwisho ya kupiga kura saizi wote tunarukaruka tu, siku hiyo ndo utakuja na mawazo yakoMuwe mnafikiria kwa kutumia akili na sio masaburi
Unaangalizia wapi/channel gani au link tafadhaliCHADEMA badirisheni huyo sound engineer, anafifisha sauti ya Lissu
Wale wanaojua namna sound engineers wanavyowaondoa watu majukwaani kwa kuwafifishia sauti ndivyo huyu Sound Engineer anavyomhujumu Lissu
Weka link mkuu"Uchaguzi wa mwaka huu katika majimbo 264, Chadema iliweka wagombea Ubunge katika majimbo 244, hatukuweka wagombea kwenye majimbo 20 ya Pemba lakini wagombea wetu 53 wa Ubunge wameenguliwa." Mhe. @TunduALissu, mgombea urais wa Chadema. #UzinduziWaKampeniChademaView attachment 1550776
Baada ya kuipitisha picha kwenye Photoshop ndio mnaanza kuweka. Pwahaaa. Wekeni live 360 degree."Uchaguzi wa mwaka huu katika majimbo 264, Chadema iliweka wagombea Ubunge katika majimbo 244, hatukuweka wagombea kwenye majimbo 20 ya Pemba lakini wagombea wetu 53 wa Ubunge wameenguliwa." Mhe. @TunduALissu, mgombea urais wa Chadema. #UzinduziWaKampeniChademaView attachment 1550776
Ndiyo maana uzi huu haukimbii...!! Ha ha haaa! Wameacha kumsikiliza Salary Slip kuwa wasogeze mbele ufunguzi wa kampeini ili washughulikie mapingamizi..!!! Naona Salary Slip kawashughulikia. Kwi kwi kwi kwiiii!Mkutano umedoda kweli kweli, "Body Language" za Viongozi ni dhoofu, nyuso zao zimejawa na hasira na wanoekana kukata tamaa.
Frustrations za kudoda kwa mkutano zimehamishiwa kwa TBC wamefukuzwa uwanjani.[emoji38][emoji38][emoji38]
onlineUnaangalizia wapi/channel gani au link tafadhali
CHADEMA wanajiharibia wenyewe watanzania sio wajinga wamesha wasoma hawa watu, mtu huwezi kwenda kwenye mkutano wa namna hiyo.
Hahahahahaha mnachekesha ili msaidiwe na Police, mtadeal na nguvu ya umma hamna namna..Ndo kusema sera ya kwanza ya CHADEMA ni kufanya vurugu, kwani hao waliokatwa wamekatwa na wananchi?, Kama hapana, basi hizo vurugu zifanywe na hao viongozi wa chadema dhidi ya wakataji, maana kuwahusisha wanaanchi ni kuwaonea tu,
Makamanda mnatuangusha sana kwenye media kuweni active mlitakiwa muwe active since morning Haya ni MAPAMBANO"Uchaguzi wa mwaka huu katika majimbo 264, Chadema iliweka wagombea Ubunge katika majimbo 244, hatukuweka wagombea kwenye majimbo 20 ya Pemba lakini wagombea wetu 53 wa Ubunge wameenguliwa." Mhe. @TunduALissu, mgombea urais wa Chadema. #UzinduziWaKampeniChademaView attachment 1550776
Acha roho mbaya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuipitisha picha kwenye Photoshop ndio mnaanza kuweka. Pwahaaa. Wekeni live 360 degree.
Watu wamepwaya.
Lissu amekinukisha. Ameitisha maandamano ya amani nchi nzima. Anadai wagombea wa vyama vingine tofauti na CCM wengi wameondolewa. Amewataka vyombo vya ulinzi wasitumie silaha wanazobeba kwa jina la Jamhuri dhidi ya wananchi
Tibisi walitegwa wakategeka ..aibu ile kufufurushwa mbele ya halaikiNdiyo maana uzi huu haukimbii...!! Ha ha haaa! Wameacha kumsikiliza Salary Slip kuwa wasogeze mbele ufunguzi wa kampeini ili washughulikie mapingamizi..!!! Naona Salary Slip kawashughulikia. Kwi kwi kwi kwiiii!...