Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Yule wako kaenda maeneo mangapi mpaka leo manake Moshi hatujamwona kabisaaaa au atapigiwa kura na mabango na mapicha mliobandika kila chocho kama ndio hivyo basi sawa sisi tutampigia Lissu wengine mabango yatampigia
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio mnajidanganya mkivuta bangi
Tulia kimya ndio kwanza pana karibia kupambazoka mwaka huu akili zitawakaa sawa ole ole ole wenu muibe kura tutatangulia kwa pamoja mbinguni
 
Inahitaji chama makini chenye misingi imara kushindana na chama tawala na kuamini kwamba watachukua dola
Hii chadema ina miaka 28 na nusu lakini naona kama upinzani umeanza mwezi wa August

28102020***
29102020****
30102020*****
 
Jamaa anazunguka mikoa ile ile hana jipya.
 
Ratiba inapwangwa na NEC ya CCM. Haipangwi na TL. Ukiona hivyo ujue ni mpango wa Mahera dhidi ya TL.
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…