NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
Keyboard zinavyofanya kazi JF zingekuwa ndo kura Ufipani ingekuwa sherehe. Lakini kitaani kila anapopita akiondoka watu wanaanza kujadili Chadema Sera yao ni Ipi, Yaani mumewavuluga kabisa watu. Bora hata Hashimu Rungwe anasera ya UbwabwaWe jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inner circle ipi ? mnatiana ujinga tu usio na kichwa wala miguu nyinyi wajinga wa chadema.Kwa akili zenu ndogo na fupi mnajipa moyo kabisa kwamba huyo mtu wenu anaweza kushinda huu uchaguzi ?Waulize walio katika inner circle watakwambia hali ilivyo Mkuu. Ni Surprise ya aina yake, dalili sio nzuri
Wakufyekelewa mbali ni wengi uchaguzi huu, na mwingine huyu hapa.Wakufyekelewa mbali tunawajua, subirini muda wetu, ufike, huu ni wenu najua mnatumia hata mbeleko.
Kusini mbona mmewabagua kuwapelekea diamond na alikiba wafurahie fiestaHakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
Hata KANU kilikuwa chama kikuu leo ni sawa na TLPInner circle ipi ? mnatiana ujinga tu usio na kichwa wala miguu nyinyi wajinga wa chadema.Kwa akili zenu ndogo na fupi mnajipa moyo kabisa kwamba huyo mtu wenu anaweza kushinda huu uchaguzi ?
Na hizo dalili zako ambazo unasema sio nzuri ,hakuna kitu kama hicho lakini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri mnaaminishwa hivyo ili muweze kuendelea kupayuka.Haya yalikuwepo hata 2015 ,maneno mengi kuliko ukweli wa mambo.
Mlikodi mpaka genge la wahalifu wa kimtandao ili kutafuta ushindi lakini nchi ilikuwa macho na likasambaratishwaa.Ni kweli mnajitahidi sana humu mtandaoni kwa kuwa mnalipwa lakini mtaaibika sana baada ya matokeo na sijui mtaweka sura zenu wapi.Mwenzenu huyo hana tatizo,yeye atarudi kwao.
Bora uendelee kujifariji kwani ugali unaupatia hapo,Hali ndio iko hivo achilia mbali taarifa unazosemea.Inner circle ipi ? mnatiana ujinga tu usio na kichwa wala miguu nyinyi wajinga wa chadema.Kwa akili zenu ndogo na fupi mnajipa moyo kabisa kwamba huyo mtu wenu anaweza kushinda huu uchaguzi ?
Na hizo dalili zako ambazo unasema sio nzuri ,hakuna kitu kama hicho lakini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri mnaaminishwa hivyo ili muweze kuendelea kupayuka.Haya yalikuwepo hata 2015 ,maneno mengi kuliko ukweli wa mambo.
Mlikodi mpaka genge la wahalifu wa kimtandao ili kutafuta ushindi lakini nchi ilikuwa macho na likasambaratishwaa.Ni kweli mnajitahidi sana humu mtandaoni kwa kuwa mnalipwa lakini mtaaibika sana baada ya matokeo na sijui mtaweka sura zenu wapi.Mwenzenu huyo hana tatizo,yeye atarudi kwao.
Kama nyinyi munavoo shinda tume kwa kupanga figisu Zanzibar Mara hii kumoto na Tanganyika moto 27 tunaenda sasa uvumilivu bassi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kusini mbona mmewabagua kuwapelekea diamond na alikiba wafurahie fiesta
Msiwakimbie wapiga kura kusini wapelekeeni fiesta hata Kama amtoshindaLawama zote ziende kwa mbelgiji
Kawakamata vibaya sio,poleni.Lawama zote ziende kwa mbelgiji
Aliekuambia waliojiandikisha wote ni ccm nani?Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo wata lalamika wameibiwa kura.
Kawakamata vibaya sio,poleni.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu
October unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Ungekuwa raisi magufuli asingeparamia vumbi kula njombe kupiga magoti kama njiwa na kupiga mapambio kwa kuparaza sauti kaa kunguru mgumu. Na lazima afurumushwe kuondolewa ikuluHakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
Anazingatia Ratiba ya Kampeni kama ilivyopangwa na Tume ya Uchaguzi.Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Hii Checklist angepewa Halima James Mdee Ili ahangaike nayo atakaporejea Jukwaani.SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani[emoji328][emoji328][emoji328][emoji328], Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Ungekuwa raisi magufuli asingeparamia vumbi kula njombe kupiga magoti kama njiwa na kupiga mapambio kwa kuparaza sauti kaa kunguru mgumu. Na lazima afurumushwe kuondolewa ikulu
Mungu ndio nguzo yake tangu amerudi nchini ni non stop stamina yake ya ajabuTundu Lissu ana nini lakini?
Mbona wenzake wanachoka yeye anazidi kuchanja mbuga hivi?
Anakera kama nini huyu, kutaka watu waanguke na mapressure.[emoji23][emoji23]