Atashinda lisu atatangazwa magu nec ni yake😢
 
Hata huku Dar mawakala hamna kabisa lou
 
Aiseee muitikio wa Vijana ni hafifu mnoo...
Wengi ni kina Mama watu wazima na wazee..

Hii si nzuri.. Akina mama watalichagua jiwe
Vijana wanaona kuchagua hakuwahusu, Mimi kituo nilichokuwepo wanawake tulikuwa wengi vijana wa kiume hamna wallah, na wanawake ni mashabiki wa ccm.
 
Reactions: KGM
Kuna msimamizi wa uchaguzi, wananchi wamemtimua, kila muda anatoka anaenda dukani na kurudi #TanzaniaDecides2020
 
Tunategegemea uchaguzi utakuwa huru na wa amani. Kwa upande wa eneo letu la Dar- Ilala- Kitunda- Kipunguni B- Machimbo hali ni swali utaratibi ni mzuri wa kufuata alphabetical order unafanya watu wasichoke na tume imejitahidi kuweka utaratibu mzuri.
 
Tumefanya kwa mtandao majibu hayajakuja na jina halipo ubaoni.
 
Nasikia kuna makada wanachukuliwa mtaani na majumbani wanasafirishwa bure kwenda kwenye vituo vya kupigia kura kisha kurudishwa.
 
Ila nimeona watu wakipitishwa tu kwa haraka ili mzee awahi kupiga kura kwa kuwa kaamua kusimama kwenye mstari. Sasa sijui wale watu waliopitishwa bila kupiga kura wataenda kupanga tena mstari au wataruhusiwa kuingia tu au walikuwa wanabaki mahali ili kumpisha mkulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…