Nimepiga kura yangu mapema JPM oyee! Wife kagoma kupiga ila nimefurahi maana yeye yupo upinzani hata sipendi kumuuliza ni chama gani maana akisema ni Lissu roho itauma zaidi, bora hata awe kwa HashimUbwabwa!
 
-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
 
Kwa hali ilivyo na aina ya watu mpaka washabiki wa CCM wanavyosema magufuli hashindi hata kwa dawa, watu wengi makada wanadai magufuli kawaletea njaa na wamempa Lissu kwa hasira.
Nenda vituoni uone vibibi na vizee vinavyopiga kura na akina mama, njoo vijiwe vya bodaboda na kubeti uona vijana walivyo kaa hawana muda wa kupiga kura! Kumbe ndio maana wapinzani wanashindwa kirahisi.
 
Who cares?wamezima mitandao hadi tunakosa booking za biashara ,hatutaki kumsikia hizo habari zake zisiletwe kwenye mitandao wakati anaminya internet
 
Umechelewa, karibu sana jijini Dodoma kushuhudia JPM akiapishwa kwa awamu ya pili
 
Ni jambo la ajabu mpaka sasa TBC inaendelea kuipigia kampeni CCM. Siku ya leo ni ya Uchaguzi lakini kinachoendelea ni TBC kuendelea kuwahoji wagombea na makada wa CCM ambao bila aibu wanatishia wananchi kuhusu kupotea kwa amani endapo wananchi wataamua kuendelea na adhma yao ya kudai haki yao kwa namna ambayo wataona inafaa.
 
Na sjasema kuwa hao wazee ni wapiga Kura wa mtu Fulani, hayo ya Mzee wako/wetu kuwa ni damu ya Chadema yanatoka wapi mkuu!

Simply watu wamepoteza trust na zoezi zima la uchaguzi nchini. Ndio maana tulisema toka mwanzo idadi ya wapiga kura 29m+ ilikuwa ya kupika, na kupitia zoezi hili ukweli huo unaenda kufahamika. Usishangae tume wakasema watu waliopiga kura ni 27m+.
 
Pengine umeshawahi kusikia jina la Profesa Allan Lichtman wa Marekani ambaye ana rekodi ya miaka 30 ya kutabiri kwa usahihi kabisa matokeo ya urais katika nchi hiyo...
#UAMUZI WA NAFSI; Umechapia kumtaja E. Chahali kwenye uzi wako mtu wa kitengo muasi. Maelezo marefu ambayo yameegemea upande wenye hisia zako. Anyway, that is a day light illusion. Hakuna mtu atatokea Tanzania kuchaguliwa kuwa RAIS kama moja wapo ya malengo yake aliyotamka waziwazi kwamba atashughulikia waliomtendea isivyopaswa kwa kadri anavyohisi.

Huwezi kutamtaka hadharani kwamba fulani aliamuru kikundi fulani kinishambulie kisa ni mkosoaji mkubwa wake. Ukimsemea ubaya mshindani wako hadharani KARMA huwa na kawaida ya kugeuza mtutu ukuelekee wewe mwenyewe na kujifyatua kama masihara.

Lindeni ndimi na maandishi mnayoweka kwenye mitandao maana unahamasisha hisia hasi ambazo mwisho wake hauna manufaa yoyote kwako au yule aliyeteka mtima wako.
 
Hopeless mwambie ajiandae asije akafa kwa stress. Kawe tumeshamaliza kazi very peacefully!! Tunasubiri matokeo!
 
Mimi ni kijana na nimesha ongeza 5 nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…