Watu lvel ya kijiwe samli utawajua tu. Wanadhani wakimwita mtu ''mama'' ndiyo wamemdhalilisha! Ulivyo mjinga hujui unaweza kuwa kweli unachati na mama yako! Primitive way of thinking! Fanya jitihada utembee duniani ujifunze ustaarabu ni nini na siyo unakuwa na maisha local ya kiswazi. Ndiyo maana unadhani hapa tunafanya ushabiki.Sawa mamaa
Yah n kweli nachat na mama yangu ndio maana nmekuita mama, au nimekukosea mama'angu.?Watu lvel ya kijiwe samli utawajua tu. Wanadhani wakimwita mtu ''mama'' ndiyo wamemdhalilisha! Ulivyo mjinga hujui unaweza kuwa kweli unachati na mama yako! Primitive way of thinking! Fanya jitihada utembee duniani ujifunze ustaarabu ni nini na siyo unakuwa na maisha local ya kiswazi. Ndiyo maana unadhani hapa tunafanya ushabiki.
Itabid iwe hvy, asikae kizembe ht kdgNINGEKUWA MBOWE NINGEONDOA HELA ZOTE KWENYE ACC KAMA AJAJUA KINACHOFWATIA ATANIKUMBUKA AKISOMA HAYA WALLAHI
Hata huyo ''primitive man'' wako alikuwa anafikiria hivi hivi. Nasikia yeye na wapwa zake and co wanaita Chadema ''wanywa mbege'' na wametoa maagizo ''wanywa mbege'' wote wakwamishwe! Strangely, uchaguzi ulipofika hakuamini macho yake jinsi anavyochukiwa. Na bado! Ndiyo mtajua kuwa kuongoza siyo hasira na kuamuru watu wauawe! Very old and primitive way of leading! Huu ujinga walifanya kina Mobutu na hawakufika popote zaidi ya kuacha alama za ujinga wao mpaka sasa hivi zinajionyesha kwa vitu vya anasa walivyojenga vijijini kwao kwa ubinafsi na ushamba wao kama hilo-likiwanja la ndege litakavyododa baada tu ya mwaka mmoja.Hoja za nguvu za lissu kuibiwa kura?? Nyambaafff, lissu akagombee ubelgiji huko
#Chadema ni lazima ife, ni lazima ifee#
Amini usiamini, uchaguzi huu umemuacha Rais John Pombe Magufuli uchi lakini kama ilivyo siku zote waumini wake hawasiti kumsifia alivyovaa na kuwa maridadi na pia kwa mbali uchaguzi wenyewe umenikumbusha Emperor Jean Bedel Bokassa wa iliyokuwa Central African Republic.Kwa watu wenye akili timamu na fikra sahihi wanaoongozwa na ubinadamuna utu, kuna kitu cha kujiuliza
Kwanini , kwanini , kwanini! Nini kinapelekea kuchukiwa kiasi hiki.
Chuki niliyooina dhidi yao, yake na wao imenitisha na kusikitisha sana. Hilo ndilo lime ni shock!
Tuma hata picha uko barabara/eneo gani unaandamana kamanda. Tujiunge nawe.Nasema hivi wakati wa kupambana ni sasa hawa wahuni hawana hati ya miliki ya Tanzania wafanye uhuni, wizi na mauaji kisha waite ni uchaguzi. Huu uchaguzi ni batili na kuna ushahidi chungu nzima karibu kila kona Nchini kuonyesha kwamba uchaguzi huu haukuwa huru wala wa haki.
🤣🤣🤣🤣Tuma hata picha uko barabara/eneo gani unaandamana kamanda. Tujiunge nawe.
Maana makamanda wengine wana andamana kwenye VPN tu.
Tuma hata picha uko barabara/eneo gani unaandamana kamanda. Tujiunge nawe.
Maana makamanda wengine wana andamana kwenye VPN tu.
Well, wajipange tu kwa ajili ya 2025.Nchini , kikanda na kimataifa! hii ni aibu na fedheha sana kwa Taifa.
Yaani hata CCM huku mitaani utaona nyuso zao zinavyowasuta. Ni aibu ya taifa. Aibu haina chama!
Nina shock si ya matokeo bali hali ilivyo. Miaka 5 upinzani ulipigwa marufuku. Miaka 5 ya chama kutangaza sera za madaraja, midege, na flyovers. Miaka 5 ya manunuzi ya madiwani na Wabunge. Miaka 5 ya matumizi ya fedha za umma mengine bila uhakiki. Miaka 5 ya kutesa wapinzani, kutishwa n.k.
Sikutegemea ushindi unaoongozwa na Jeshi la Polisi(OCD Hai), TCRA kuhangaika na mitandao, TBC na propaganda, NEC na Msajili wa vyama kusaidia chama bado yametokea haya
1. Wananchi kuonyesha chuki wazi wazi
2. Upinzani kufufuka kutoka majivu hadi kushindwa na dola na si chama
3. Kubwa kuliko yote, aisee , Inachukiwa, Anachukiwa, wanachukiwa hadi inatisha
Kwa watu wenye akili timamu na fikra sahihi wanaoongozwa na ubinadamuna utu, kuna kitu cha kujiuliza
Kwanini , kwanini , kwanini! Nini kinapelekea kuchukiwa kiasi hiki.
Chuki niliyooina dhidi yao, yake na wao imenitisha na kusikitisha sana. Hilo ndilo lime ni shock!
Pole kamanda, kuna kibanzi nyuma hapo chomoa ukimbie.Hata huyo ''primitive man'' wako alikuwa anafikiria hivi hivi. Nasikia yeye na wapwa zake and co wanaita Chadema ''wanywa mbege'' na wametoa maagizo ''wanywa mbege'' wote wakwamishwe! Strangely, uchaguzi ulipofika hakuamini macho yake jinsi anavyochukiwa. Na bado! Ndiyo mtajua kuwa kuongoza siyo hasira na kuamuru watu wauawe! Very old and primitive way of leading! Huu ujinga walifanya kina Mobutu na hawakufika popote zaidi ya kuacha alama za ujinga wao mpaka sasa hivi zinajionyesha kwa vitu vya anasa walivyojenga vijijini kwao kwa ubinafsi na ushamba wao kama hilo-likiwanja la ndege litakavyododa baada tu ya mwaka mmoja.
Tupo hapa tunaandamana lissu aachane na amsterdam.Acha ujinga wewe hii ni 2020 kuna namna chungu nzima ya kupambana na Serikali dhalimu usidhani tuko mwaka 47.
Kamanda ina maana utaandamana kwa emoji??? Ki software zaidi??Acha ujinga wewe hii ni 2020 kuna namna chungu nzima ya kupambana na Serikali dhalimu usidhani tuko mwaka 47.
Kampe pole mpwa wako aliyejenga uwanja wa ndege wa kifahari katikati ya watu wenye ufukara wa kutupwa! Huyo ndiye anayehitaji pole nyingi sana!Pole kamanda, kuna kibanzi nyuma hapo chomoa ukimbie.
Nipo barabarani naandamana
Kamanda ina maana utaandamana kwa emoji??? Ki software zaidi??
Pole kamanda, kuna kanyama kamenatia hapo nyuma, chomoa ukimbieNasema hivi wakati wa kupambana ni sasa hawa wahuni hawana hati ya miliki ya Tanzania wafanye uhuni, wizi na mauaji kisha waite ni uchaguzi. Huu uchaguzi ni batili na kuna ushahidi chungu nzima karibu kila kona Nchini kuonyesha kwamba uchaguzi huu haukuwa huru wala wa haki.