Lissu awe mstaarabu akubali matokeo maana hii ya kuanza kupitapita kabla matokeo hayajatangazwa ni dalili ya kutokubali kuyapokea matokeo.

Je wabunge wake (endapo watashinda) watatoka Bungeni siku ya kulizindua?

Amen
Ni lini Chadema waliwahi kukubali Matokeo?. Wakubali, wakatae, walie wanue Tanzania ni zaidi ya chadema. Wengi wape.
 
Mwenye navyo atazidi kuwa navyo ,na mwenye kidogo hata kile alichonacho atanyang'anywa.
 
Hawa wapendwa sidhani kama neno Magufuli litawatoka kichwani mwao kwa namna alivyo waonyesha kuwa yeye ni Amri jeshi mkuu!

Ni hayo kwa leo.
 
Hii ndiyo hali halisi ya uchaguzi mkuu. Tanzania nimekunyooshea mikono juu.

1. Kura za ubunge


2. Kura za urais

 
Go easy on them... Watu wana machungu labda hisia zikikaa sawa watajifunza.
Yaani jamaa ana kiwewe hadi anaanza kuleta habari za “dikteta Bashiru”.

Mtu ambaye sijawahi hata kumzungumzia humu.

Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…