Wapinzani wa kigamboni ipi ww na kwa lipi alilofanya kigamboni ww ...hebu niambie tangu achaguliwe 2015 huko kwenu alishakuja kusikiliza kero hebu kua mkweli
Naposema wapinzani wanamuheshimu/mkubali simaanishi watamuachia jimbo..la hasha
Lakini jamaa ukimueleza kero huwa anafatilia na kukupa mrejesho...
 
 
 
 
Naenda kusema kwa baba[emoji444][emoji441][emoji445]
Kusema kwa baba
Naenda kusema kwa baba[emoji444][emoji441]
 
Mechi bado ipo "half time".
 
Mkuu,hutakaa uelewe SIASA kama fikra zako ni hizo.Hata kama Makonda Atarudishwa JUA KWAMBA Kigamboni litaenda kwa Wapinzani

Makonda hakubaliki Kigamboni na hata hizo kura 122 amezipata kwa gharama kubwa sana na kwa kutumia rasilimali nyingi sana za nchi pamoja na kutoa ahadi nyingi za uwongo.Hasa kwa wakina mama na wale wenye migogoro ya ardhi.Kitendo cha Makonda kunyimwa kurana kupata chini ya 50% ya kura zote ni ushahidi kwamba hana jipya wala hana mvuto.Hata wakirudisha jina lake itabidi na KURA wamuibie ila CCM Kigamboni wameshasema kwenye sanduku la KURA kwamba HAWAMTAKI.AENDE KOLOMIJE
 

Uko sayari gani wewe, kura 68 ni tofauti kubwa sana kupindukia kwa kura za kwenye matawi labda apate huruma ya babaake lakini kiukweli jamaa ameanguka kuliko kuanguka
 
Mkuu tunacho furahia ni kuwa Bashite kapigwa na wananchi, na kumuonyesha kuwa hawampendi.

Hata akipewa uteuzi hiyo haitasumbua maana anajulikana kuwa ni mwana mfalme.

Ila wananchi wa dsm wamemkataa
Nasubiria Waitara.
Nasari mbwembwe zimesha zimwa tayari. Hawa ng'ombe walio katwa mikia wana takiwa kujua walikuwa wana tembelea nyota ya CHADEMA
Wao ni watupu kama kopo la chooni..
 
Alisimamia misingi yake ya utabibu hivi unataka siasa kila mahali? Magufuli kama yuko sahihi basi ni katika kubashiri tuu ila in reality yy Ndugulile kama Daktari aliitendea haki fani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…