Tatizo walipopata vyeo vile walijionaKatambi angetulia tu kwenye U DC
Huyu silinde a nafikiri siasa za ccm Sawa na cdmHayo hapo ya silindeView attachment 1512153
Silinde na lijuakali wao Wanajua kutafuta hurumaJamaa anapiga ma magoti utadhani anapeleka maungamo kwa Askofu. Hatariiiii......
Huu ndio utaratibu wa zamani kabla kikwete kubadilisha, nazani mkwere aliiga style ya marekani, wajumbe wachache ni rahisi kuhonga wote, kwa wenye hela, tofauti na wanachama maana ni wengi.Hahahaha, utaratibu ulibadilishwa ktk kura za maoni za ubunge jimbo
Kuna wajumbe wajumbe wa jumuia zao ,wajumbe wa vikao husika
Ila si kila mwanachama
Huyu jamaoa amesoma ngumbaru ( mature age) ndio maana hajaelimika!! Ukichanganya na sumu mwilini ndio maana amechanganyikiwa!! Sasa akalime mpunga.Yeye ameshiba ila wao Ni darasa la saba
Hivi binamu aka Fa kapita?Ina maana ya kwamba daddy is comin.. kumbuka bado hawajapitishwa na kamati inayotegemea Magufuli ameamkaje siku hiyo.🤨
😆😆😆Kigamboni tunaandaa maandamano ya HIARI
NI hujumaa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huyu kaja cdm na sendozSilinde sasa akaanze kazi yake ya kusaga mpunga pale mbozi karibu na hotel ya shaba
Where is Mwambe?
Yeah , kwa sasa mfn kawe mbunge atapita kwa kupigiwa kura za wajumbe ,wasiozidi 600+Huu ndio utaratibu wa zamani kabla kikwete kubadilisha, nazani mkwere aliiga style ya marekani, wajumbe wachache ni rahisi kuhonga wote, kwa wenye hela, tofauti na wanachama maana ni wengi.
Leo zamu ya mwita waitara kuangukia pua tarime.wote waliomtukana mbowe lazima wataanguka tu.silinde,lijualikali,waitara.........
Duhh..kala za macho?Anafua boxer. Limechafuka baada ya kura kuhesabiwa!