Yeah nimerekebisha.Sio kweli kwani Dialo aligombea kwenye jimbo la heche?
Nadhani umechanganya na Wenje
May be wa wilaya,ngoja nimuulize victorieNa hakukua na mkuu wa Mkoa mwenye hilo jina
ThubutuuuuKigamboni, Paul Makonda 319, Ndungulile 69
Nakemea hii roho..Kigamboni, Paul Makonda 319, Ndungulile 69
KanyooshwaJamani huu uzi si wa matokeo, ni wa joke tu.
Mnakumbuka yule engineer aliyekuwa anapewa amri kule Tabora!? Engineer somaa hiyo..
Kamwangusha Nani?Japhet Hasunga ameshinda Jimbo la Vwawa.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]woyoooooooooo
JESUS IS LORD[emoji120]
Balaa kubwa
Makonda amegaragazwa vibaya na Dr. NdungulileNa hakukua na mkuu wa Mkoa mwenye hilo jina
hakuna msaliti aliyetoboashinyanga mjini vipi wakuu. Patrobas katoboa au chali?
Kapita akielekea wapiUbungo kitila mkumbo kapita
Umeandika habari ya uongo , uzushi na unafkiNimeandika uzi, kuwa Makonda ndiye Mbunge wa Kigamboni 2020-2025. Mods wamefuta!!
Mnataka niandike nini?!!! Nimekosea nini hapo!!! Pumbavu sana
Mzee wa tokomeza zeroNimemempenda jamaa amejiachia Sana hana hifu na mtu.
Mbatia anashinda tena hapo.Dr kimei kashaanguka huko Vunjo
Jimbo la Vunjo
Enock koola 187
Dr kimei 178