Breaking News !

Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya chama cha CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..
 
Please wapinzani,hawa waliounga juhudi na leo wamepigwa chini kamwe wasirudi hatari sana kwa ustawi wa opposition
 

Hayaa...
Sasa Makonda ni Raia wa kawaida Rasmi.

Sasa hivi ukikutana nae hata vibao unamtwanga vizuriii...

Anyooke sasa.
 
Waliounga mkono juhudi pole zao, wamebaki na sifa moja tu mbele ya umma wa Watanzania; "Walikubali kuwa wasaliti na hata kutumika kwa manufaa ya chama tawala". Huku ndiko kuisoma namba.

Wasiwe na aibu ya kurudi nyumbani kama wana wapotevu. Ni heri sasa wakarudi zizini huku pembe na mikia yao zikiwa zimekatwa.
 
Safiiiiiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…