Hahaha..ila watu hawampendi Makonda aiseeh.

Ila pia nwashangaa waliompa hizo kura mia na zaidi....wametumia kigezo gani?
Poleeeeeeeeeeh afu weee ulinirusha roho khaaaaaah
 
Karamba lolo Makonda!Namuonea huruma katika maisha yake ya siasa maana aliharibu sana pia haji kupata cheo chochote kile!Hivi atakuwa anajisikiaje??
 
Breaking News !

Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya chama cha CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..
 
Pesa zake 300mil zimekwenda na maji na wamemkataa....... Shetani huyu Mr zero.......
 
Hayo ni maoni tu kwa kamati kuu Kama Yale maoni ya wadanganyika kwenye rasm ya katiba mpya yaliyokuja kupinduliwa na mh sana samweli sitta na genge lake wakiwemo Makonda na Magufuli Kisha kuzikwa kabisa na Magufuli.Kwa mkitadha huo plus namna tunavyoshughulikia suala la Covid_19 namtangaza makonda Kama ndiye mpeperusha bendera la chama kubwa Africa katika kuzalisha masikini dunia kwa kufisadi na kuiba Mali za Wanyonge wa nchi hii yaani ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…