Hapo ndipo wapinzani huwa wanapata majimbo kirahisi kwakutoheshimu wapiga kura,mwenyekiti akiruhusu huo ujinga chamani CDM watajichukulia majimbo yenye ujinga huo
 

Ninamheshimu sana na Kumpenda mno Mwenyekiti wangu CCM na Rais wangu, ila akimpitisha tu Makonda ' Kiupendeleo ' nitamdharau Daima.
 
Bashite kilichobaki ni kwenda kuomba kibarua WCB, maana kajipendekeza sana.

Akikosa na kule, basi tumuombee dua tu ndugu yetu!![emoji28]
 
Wewe ndio Utopolo unalishwa matango pori hovyo na wewe unakubali kuwa mfuatiliaji wa taarifa mkuu.
Dr Mollel ameshinda huko Siha acha ubishi wa ovyo View attachment 1511944
Nasikia kashinda kwa kura 1 tu. Amshukuru sana Magu huyu. Uteuzi wa unaibu waziri umemsaidia na mzee Mwanri aliyekaidi maelezo ya kutokuwa na tamaa ya mteuzi wake ameponzwa na Mag vile vile.
 
paul labile pogba makonda hahahhhah

naona anaangaangaza wakumbebesha dhambi za waliomkata
 
Ninacho shukuru hadi sasa wale woote walio saliti kambi yetu pendwa ya upinzani kwa kukimbia njaa leo woote wamekatwa mikia
 
Wee unaongea kwa wivu tu wa kipumbavu hujui jamaa ndo mlezi wa ile crew next time ulizia ulizia kwanza kabla hujapost
 
Nimepita kigamboni nikakuta kambi ya mwana wa mfalme wanaangua vilio utadhani kuna msiba
Walioko huko watupe picha Betty ya joto lilivyo, Mbeya, Kigamboni, Arusha, Misungwi nk japo mie nabashiri vinara kuwa nje ya tatu bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…