Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
Inawezekana aisee,maana hio ndio wanaiita CCM mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kama billioni kumi iviHii ni kiasi gani kwa maneno.?
Sasa nawe huo ndo umeona ni mfano?Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Ngoja tuone!Yaani Jimbo la Nyamagana CCM wakimrudisha Stanislaus Mabula, jimbo atachukua Komredi John Pambalu wa Chadema
Bora umeongeza nyama mana mtu anajiandikia tuu utadhania kigoma anaijuaNdalichako anagombea Kasulu.
Serukamba ni mgalatia lakini alikuwa mbunge wa Kigoma mjini kabla hawajabadilishana majimbo na Zitto!
Kwani kuna cheo cha Ubunge tu?Kitwanga rafiki yake Magu Vs Mnyeti mtoto wa ndani kabisa wa familia ya the boss.
Kitwanga a.ka Mawe matatu atapumzishwa sasa, huku Mnyeti akipenya.
Kwhy sahv waislam wamezidi mahitaji..acha kushupalia mamboSiasa za 2005 ni tofauti na 2020.
Sera na mahitaji yamebadilika
kwanza nimekosea kuiandika ni 1,036,100,000 kwa maneno bilioni moja, milioni thelathini na sita na laki moja.Hii ni kiasi gani kwa maneno.?
bila shaka,na ndio maana mpk ma Katibu wakuu,RAS,DAS,RC,DC etc wanakimbilia kwny ubunge.Kwani kuna cheo cha Ubunge tu?
Kitwanga akikosa Ubunge, maadam mkuu ni swahiba atapewa, ubalozi hata U-RC nk.bila shaka,na ndio maana mpk ma Katibu wakuu,RAS,DAS,RC,DC etc wanakimbilia kwny ubunge.
Yule ni mwanae sana tena saana,sidhani kama atamuacha hivi hivi tu mikono mitupu.Kitwanga akikosa Ubunge, maadam mkuu ni swahiba atapewa, ubalozi hata U-RC nk.
Bilioni moja na wewe acha kukuza vituKama billioni kumi ivi
Huu ndio ukweli.Yaani Jimbo la Nyamagana CCM wakimrudisha Stanislaus Mabula, jimbo atachukua Komredi John Pambalu wa Chadema
Ester Bullaya si ester mmassyMoshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.
Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.
Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.
Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
Iramba kura zilizopangwa na Uongozi wa CCM Wilaya
1. Eng. CC Mkali - 4
2. Dr. Mwigulu Nchemba - 27
3. Monica Yongolo --8
4. Lyanga Martin 3
5. Dr Timoth Lyanga - 13
6. Paulo Mkoma 2
7. Abdala Matanga - 3
8. Robert Jackson Makala - 5
9. Vicent Shomela - 3
10. Eng. Jumbe Katala 11
12. Mwl Noel Kingu - 4
13. Matahyo Samson - 9
14. Elia Mpesa 1
15.Elibariki Ndau 1
16. Paulina Makamba - 2
17. Adv. John W. Jacob - 16
18. Sadath Nkuku - 1
19. Herijema Nalaila - 6
20. Babu Khamis Bulali - 3
21. Amani Irunde 1
Walikuwa watia nia wawili tu mmoja akachinjiwa baharini akalialia huko machozi yake ikaenda na maji mara ZZK akamuokoa baada ya bahari kumsukumia ufukweni, basi wengine wakaona muvi ilivyoektiwa wakakunja mikia akabaki mmoja tu akapambana yeye na kivuli chake na yeye kuibuka kidedea!!Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?