Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Tangia nchi hii ipate uhuru na mimi kuanza kuijua siasa Mwl. Nyerere na Dr. Magufuli, nawapenda sana na ninamshukru sana mwenyezi Mungu kwa kutupa viongozi kama hawa, they are truly role modal katika leadership.
 
Una uhakika gani kama ni wanatoka shule au wanaenda.

[emoji57]
 
Hakufai wewe! Unadhani kuongoza nchi ni kuongoza kijiwe cha kahawa! Nchi imejaa traitors, lazima wapigwe Pini, hakuna nchi ambayo haimwagi damu, hata huko demokrasia ilipotoka damu zinamwagika. Saliti nchi yako uone yatakayokukuta...
 
Hizi Kampeni za Urais JPM anahitaji watu serious sio POLE POLE .....Atamshauri nini ? halafu mbona uwanja wanatumia nusu tu ...wakati watu walikuwa wanajaza mzunguko mzima ....umati ni mdogo
 
Hizi Kampeni za Urais JPM anahitaji watu serious sio POLE POLE .....Atamshauri nini ? halafu mbona uwanja wanatumia nusu tu ...wakati watu walikuwa wanajaza mzunguko mzima ....umati ni mdogo
Siasa za nyomi Chadema mnapenda Sana , hamjajifunza bado Kwa Lowasa , watu wamejaa kwenye pitch , na sa hv asubh hii , mida ya sa kumi ndo uje na malalamiko kuwa uwanja ulikuwa nusu , nyie mlijisifu na watu wa furahisha na bado picha mkadublicate, na kampeni zenu zilihusisha kanda nzima
 
Napenda wanavyochagua Viongozi wa dini wenye nasaba na siasa, haswa za chama tawala.
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima ... Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Maneno ya mkosaji.....
 
Tangia nchi hii ipate uhuru na mimi kuanza kuijua siasa Mwl. Nyerere na Dr. Magufuli, nawapenda sana na ninamshukru sana mwenyezi Mungu kwa kutupa viongozi kama hawa, they are truly role modal katika leadership.
Ni bora kuwa na diploma kuliko kuwa na PhD then uwe kama Jiwe au yule wa Jalalani,
 
Hakufai wewe! Unadhani kuongoza nchi ni kuongoza kijiwe cha kahawa! Nchi imejaa traitors, lazima wapigwe Pini, hakuna nchi ambayo haimwagi damu, hata huko demokrasia ilipotoka damu zinamwagika. Saliti nchi yako uone yatakayokukuta...
Msaliti amesaliti kwa kufanya nini mkuu?
 
CCM Kirumba imefurika sio mchezo. Hivi umati wa watu una-reflect wingi wa kura? Naona kila chama kinajisifu jinsi kinavyojaza 'uwanja'!
 
Suala siyo Magufuli na CCM, wagombea waliowekwa wanakubalika? Huwezi kuchanganya maandazi na pilau!
 
Wanafunzi wanateswa sana, yaani watoto wamezuiwa kwenda shule pamoja na waalimu wao ili waende kwenye shughuli za kampeni za CCM!! Maajabu
 
Wananchi wamefurika uwanjani, uwanja umejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…