Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Wanafunzi wanateswa sana, yaani watoto wamezuiwa kwenda shule pamoja na waalimu wao ili waende kwenye shughuli za kampeni za CCM!! Maajabu
Wamelazimishwa Kwan? Ambao hawatak wabak wajisomee madarasani
 
Fuatilia hapa Kampeni za mgombea urais kupitia CCM Ndugu Magufuli kutoka uwanja wa CCM Kirumba
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima ... Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Niliposikia ubwabwa wa Rungwe unazuiliwa, nilitaka nisikie pia muziki wa akina Diamond vipi? Kama ubwabwa ni rushwa basi hata muziki, burudani ni rushwa?
 
Magufili Miaka mitano tena tumchague ili alete maendeleo ya haraka Tanzania
 
Maccm pumbavu sana, yaani hapo kama midoli, hata lililotoa mada, unawezaje kurudiarudia mapicha kama juha ??, hapo ungeweka picha moja tu ujumbe waKO USINGEFIKA ??
Usimfokee!!!!
 
Mbona huweki update za wasanii ambao wameshapanda Jukwaani na wameimba nin leo?

Kwa huyo mgombea tunajua huwa anaongelea kuhusu mabarabara na madaraja pamoja na mandege.
 

Kwa nini mnawalazimisha wafanyakazi wasaini kwa dole gumba kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kampeni?
 
CCM Inapendeza sana na tuna Mgombea makini na anauzika hakika tumchague
 
Hanatufaa kwa sababu ametuletea maendeleo makubwa leo hii mtu anasafiri kwa rami karibia nchi mzima
Pia ametuletea maendeleo katika sekta ya nishati sikuambii kuhusu maji hakika ni chaguo sahihi kwa wakati sahihi kwa watanzania tusimkose huyu mwamba wa kanda ya ziwa.
 
Fiesta tu hapo......

Watz wanataka mabadiriko🤔🤔
 
Msanii maarufu kuliko wote nchini Naseeb au Diamond Platnumz leo ameweka historia ya pekee baada ya kuvalishwa kofia na Rais Magufuli.

Rais Magufuli alimwita Diamond apande hadi meza kuu na kuvua kofia aliyokuwa amevaa na kumvalisha Naseeb.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…