Nyalandu yupo safi sana kwenye kujieleza. Jamaa ni presidential material, ila watu wa mihemko watampa TL. Sioni tofauti ya TL na Magufuli, wote ni watu wa kukurupuka kwenye maamuzi na maneno, sio viongozi na hawajalelewa kiuongozi.
Sign of weaknessKuhama chama ni kosa?
Iko wapi hiyo hotuba?Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Yes, "authoritative voice", kauli ya ki- mamlaka, na maneno yaliyojaa hekima.Mbowe kweli ni Mwamba! He speaks not like a president but more than a president!
Look at his authoritative voice!!
Mbowe ni level nyingine kabisaaa....... Sio km yule mzee wa kupiga Makelele na kufokafoka bila mpangilio akifikiri ndio watz watampenda.......Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Hajaomba aombewe😀😀😀😀Yes, "authoritative voice", kauli ya ki- mamlaka.
Acha kupotosha, CCM kama chama kina serikali Znz na bara, Chadema hawana Baraza Kuu, Kamati Kuu, wala Mkutano Mkuu Znz, hivyo vyote viko Bara. Hapo kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na Chadema.Kumbe mgombea wa urais wa Zanzibar wa CDM naye anateuliwa DSM? Sasa mbona CDM huwa wanawasema CCM kwamba wanawachagulia Zanzibar Rais wakati nao pia wanateua huku bara?
Rubbish peleka sifa ya pesa kwa haya maficcm yaliyotufikisha hapa bullshit!! We are tired! Tafuta sifa nyingine please!Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Tunawaambia siku zote Mbowe ni mwamba hamtaki, mnakalia ujinga ujinga tu wa K vant, sasa naona umeanza kumuelewa, bado viazi wenzio kina baptist nao watapiga salute.Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Huyu anaomba Lissu asipite! Pole Bro hadi unye watanzania lazima wakujue ulivyo na roho ya shetani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pindi unaposikia usiyempenda kaja tena View attachment 1525537
Leo ndo uchaguzi ?Badala ya kusema atafanya nini akiwa raisi, anaongea yote kuhusu Magufuli. Lissu bwana...
Hii ID itakuwa imedukuliwa au kachoka kuunga mkono juhudi.Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Yeah, wananadi sera zao kila mmoja. Sijui kama kupiga kura ni leo au niaje.Leo ndo uchaguzi ?
[emoji33]Sikulaumu kwa ulichokiandika kwasabu sio kosa lako ni hilo Jina lako la mwisho ndo lina tatizoPiga chini Lissu. Tunaenda na Nyarandu
Ndio hao walimpa Magu na kumuacha January or MembeHivi nyakati zile za mwenyekiti wetu Magu na akina migiro na Amina, watu wa mihemko walikuwepo?
Sometimes anakuwa boya km alipochukua fomu ya uraisTunawaambia siku zote Mbowe ni mwamba hamtaki, mnakalia ujinga ujinga tu wa K vant, sasa naona umeanza kumuelewa, bado viazi wenzio kina baptist nao watapiga salute.