Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Nyalandu yupo safi sana kwenye kujieleza. Jamaa ni presidential material, ila watu wa mihemko watampa TL. Sioni tofauti ya TL na Magufuli, wote ni watu wa kukurupuka kwenye maamuzi na maneno, sio viongozi na hawajalelewa kiuongozi.

Hivi nyakati zile za mwenyekiti wetu Magu na akina migiro na Amina, watu wa mihemko walikuwepo?
 
Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Iko wapi hiyo hotuba?
 
Mbowe ni level nyingine kabisaaa....... Sio km yule mzee wa kupiga Makelele na kufokafoka bila mpangilio akifikiri ndio watz watampenda.......

Magufuli: Watz sio wajinga
 
Kumbe mgombea wa urais wa Zanzibar wa CDM naye anateuliwa DSM? Sasa mbona CDM huwa wanawasema CCM kwamba wanawachagulia Zanzibar Rais wakati nao pia wanateua huku bara?
Acha kupotosha, CCM kama chama kina serikali Znz na bara, Chadema hawana Baraza Kuu, Kamati Kuu, wala Mkutano Mkuu Znz, hivyo vyote viko Bara. Hapo kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na Chadema.
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Rubbish peleka sifa ya pesa kwa haya maficcm yaliyotufikisha hapa bullshit!! We are tired! Tafuta sifa nyingine please!
 
Nampongeza Mbowe kwa hotuba iliyojaa hekima na ukomavu wa kisiasa .Ni hotuba ya karne kutoka kiongozi ambaye Ni political mature wa upinzani naomba nakala za hiyo hotuba zisambazwe vyama vyote vya upinzani duniani
Tunawaambia siku zote Mbowe ni mwamba hamtaki, mnakalia ujinga ujinga tu wa K vant, sasa naona umeanza kumuelewa, bado viazi wenzio kina baptist nao watapiga salute.
 
Hii ID itakuwa imedukuliwa au kachoka kuunga mkono juhudi.
Kweri wajumbe siowatu wazuri...
 
Tunawaambia siku zote Mbowe ni mwamba hamtaki, mnakalia ujinga ujinga tu wa K vant, sasa naona umeanza kumuelewa, bado viazi wenzio kina baptist nao watapiga salute.
Sometimes anakuwa boya km alipochukua fomu ya urais
 
Back
Top Bottom