Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wewe mwenyewe ulivyomwelezea inaonekana hafai kuwa raisi kwa wakati huu
 
Lissu kakataa wasiitwe wajumbe wakaja fanana tabia na wale wa ccm wala rushwa na ambao wagombea wao wamesema "wajumbe sio watu"
Hawa wa Chadema wanaitwa "waheshimiwa viongozi".
Lissu akili kubwa sn ndio maana ccm wanatetemeka sn...
 
Niko nje hapa taarifa zinasema tayari Mwanasheria "nguli" afrika mashariki na kati Mheshimiwa Tundu Lisu tayari anajiandaa kuongoza mashambulizi.
 
Uko sahihi mtu kumwita mke wa mtu mwingine Malaya hakumfanyi mkewe Malaya kuwa mtakatifu!!!

Approach Ya Lisu haiko sahihi
Inatakiwa aelezee nini atafanya siyo kusema mapungufu ya mwingine. Kama sababu za yeye kugombea ni mapungufu ya mwingine itabidi aweke kwenye equilibrium strength and weakness za aliyepo madarakani. Kwasababu hakina binadamu hata mmoja aliyemkamilifu
 
ikatokea tu ACT WAZALENDO na CHADEMA kumfanya raisi ni mmoja nchi imechukuliwa na wapinzani .
 
ikatokea tu ACT WAZALENDO na CHADEMA kumfanya raisi ni mmoja nchi imechukuliwa na wapinzani .
Ili kuweka ushindani mzuri kila chama chenye uwezo wa kumsimamisha mgombea imsimamishe , swala la kuungana ni woga wa ushindani
 
Tatizo ni kufuatisha mtindo wa CCM kijinga jinga. Kwani lazima CDM ifanane na CCM? KIla kitu kamati kuu, vikao, nk. CDM haina template yake?
 
Lissu kakataa wasiitwe wajumbe wakaja fanana tabia na wale wa ccm wala rushwa na ambao wagombea wao wamesema "wajumbe sio watu"
Hawa wa Chadema wanaitwa "waheshimiwa viongozi".

Nilimusikia.. wajumbe wajumbe tu..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nyanyua kichwa cha Nyalandu tumuwone.. 😁
 
Uko sahihi mtu kumwita mke wa mtu mwingine Malaya hakumfanyi mkewe Malaya kuwa mtakatifu!!!

Approach Ya Lisu haiko sahihi

Alitakiwa ajikite kwenye Ilani ya Chadema Kama mwrnzie Nyalandu
Unapo pambana na CCM mambo ya Ilani weka pembeni hayatakusaidia bali jikite kuelezea mapambano utapambanaje.
Unapambana na jambazi wewe una unataja vifungu vya sheria ya trespass? CCM ni mfano wa majambazi hayo mambo ya ilani hayana mpango, mbona hata UDP wana ilani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…