Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

[SUB]Sasa ni rasmi. Mh Tundu Antipas Mugway Lissu ndie ameteuliwa kwa imani kubwa kwa 91% kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA. [/SUB]

[SUB]Huyu pekee ndio mwenye uwezo wa kuvunja JIWE.[/SUB]

[SUB]Watz Twende Tukampe Kura za Ndio Tundu Lissu Pale October 28 mwaka Huu. [/SUB]

[SUB]No Fear, No Hate! People's Power! [/SUB]
 
Hongera ndugu,

Inaelekea watu hawapendi kuzungumzia shambulio lako,, likwepe kwenye kampeni zako...no one is sympathetic towards anyone..!
 
Sijui kwanini but ningependa zaidi kumuona Lissu bungeni akiibua hoja, haya mambo ya urais yatampoteza kisiasa kwa hii miaka mi 5 mpaka 2025 kwa maoni yangu.

Jamaa kichwa sana kwenye kuibua madudu ya serikali na kujenga hoja, Urais kuishinda CCM kwa mfumo wa siasa ulivyo Tanzania atajipotezea muda tu
 
Mkifikisha kura laki tano ( 500000) kwenye uchaguzi upande wa Rais.nitawasifu sana CHADEMA.[emoji3][emoji3]
Unaongelea kura laki tano? Wewe kweli mpuuzi!
 
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1

Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika

#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Mwenye hotuba ya Lissu wakati anamalizia kuwashukuru wajumbe aiweke humu. Chadema Media wekeni ile hotuba humu. Tuliokuwa tunawlive stream hatukuweza kuiona baada ya wenye fitna zao kukata matangazo baada ya nyarandu kuhutubia
 
unaongelea kura laki tano? Wewe kweli mpuuzi!
Mpuuzi wewe hapo unaepiga porojo . Mtaumbuliwa,yaani kwa makusudi kabisa,kura zenu zinaharibiwa na system.hakuna uchaguzi hapa.JPM ashindane na huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…